Ukweli ni kwamba kuna ushahidi kabisa kwamba miongoni mwa wanaojifanya kupinga ma gay kwa nguvu kabisa kuna ma gay wengi tu, wanajisikia guilty na katika kujazia ndo wanajitia prominent anti-gay crusaders.
On the other hand, mtu anaweza kuwa na principle tu ya kutetea minority yoyote. Non-whites in a white majority country, left handed people in a right-hand majority population.Wasioamini katika population iliyojaa waumini.
Ni mambo ya kuwa na uelewa tu kwamba dunia inavyoenda kuna watu tofauti, na huku kujidai shingo kavu kupinga vitu ambavyo vipo hakuna mantiki.
Na mtu kutetea watu waishi kama wanavyotaka hakumanishi mtu ni gay.
Mie natetea mashoto wapewe haki zao jeshini, wapewe silaha zilizotengenezwa kwa ajili ya mashoto, kwa sababu si kila mtu anatumia mkono wa kulia. Na mashoto wana haki na wajibu wa kuwamo jeshini.
Hilo halimaanishi mimi ni shoto.
Kuhusu kuwa passionate mi karibu kila ninachoandika naandika kwa passion, kwa hiyo likikusumbua hilo ukaliona hapa tu ni tatizo lako.