Huyu kaka ana jinsia gani?


asilimia 48 ya samesex couples wamejinasibu kutokua na dini..kukataliwa kwene dini na kufuata dini ni vitu viwili tafauti.
 

Kuhusu kumfuatilia mtu usiyemjua si ndo hapo unaponichosha!

Huna ujiko wa kunipa homework mie, especially kwa kitu ambacho huja ki prove kuwa kipo hata katika mishale ya kuaminika.

Kwa kurukia kumlundika mtu ambaye hapendi kujichanganya kama gay unaonyesha your true colors.
 

we ni kiboko.
 

xaxa kiranga mentioned above m2 hayupo,xaxa cbora apige mzhgoo 2 ajue 1,geniuz siyo hadi kupga mzigo hayupo teh teh labda lkn ni mazngira m2 aliyokulia ndo problem
 
Mushauri yule sister uliyemconect na ndg yako amshawishi wakutane bafuni-hapo lazima kitaeleweka hapo ndio atajua ipo active au chini kwa chini
 
Hii ni hali ya kawaida tu kwenye maisha
 
asilimia 48 ya samesex couples wamejinasibu kutokua na dini..kukataliwa kwene dini na kufuata dini ni vitu viwili tafauti.
vigumu kufuata dini inayowalaani na kuwaambia they are worthless/going to hell. ungesoma link ungeona 40% ni wakristo wanaotafuta acceptance. pia experience tofauti za maisha zinachangia, gays waliokuwa accepted na familia wanakuwa more religious compared na waliotimuliwa walipojitangaza na kudharauliwa in the name of dini
 

Naona umedandia gari kwa mbele braza..
Haya majibu ungempa mleta thread..mimi na wewe hatumjui huyu mtu..
Nilichofanya ni ku'connect dots from what would be their worry about their brother..
Lakini hata kama ndio msimamo wako..lol! kweli maendeleo ni mzigo..better to remain poor with our tradition!
Kumbuka ndugu zake hawamuulizi maswali kwa nini huoi?..na huenda wakimuuliza atawajibu kama ulivoshauri hapa..
Ni strategy nzuri pia kwamba they should start ask him questions kwa nini huoi?
 
Kuhusu kumfuatilia mtu usiyemjua si ndo hapo unaponichosha!
Kauli yako haina mantiki yoyote, nadhani umejiona kua unachemka..
Huna ujiko wa kunipa homework mie, especially kwa kitu ambacho huja ki prove kuwa kipo hata katika mishale ya kuaminika.
Of coz nyoka haezi kung'ata mkia wake mwenyewe..nilitegemea jibu kama hili
Kwa kurukia kumlundika mtu ambaye hapendi kujichanganya kama gay unaonyesha your true colors.
my true colors ni kuita spade a spade, hamna haja ya kupindishapindisha wala kukwepeshakwepesha wakati tunajua majibu.
 
ktk dunia ya leo ambapo almost everyone is mchungaji/mtume/nabii na kusema ana wahyi mpya na kuanzisha kanisa/dini mpya, it hardly makes sense mtu kusema anakataliwa kufuata dini wakati wana uhuru wa kuanzisha 'dini' zao zitakazowafariji perhaps. it doesn't make sense traditonal religions zikubaliane na GLT kwa sababu tu wanataka iwe hivyo wakati wao tayari wana misingi yao...hamna atakayekubali hiyo pollution.
 
kwani kuoa ni amri?,acheni kuwa wavivu kufikiri..kwani ngono chakula? Watu wameacha kuoa saa hz michosho tu.bora kuwa single

Hakuna anaemlazimisha kuoa bwana, lakini ukiwa kama mzazi au kutokana na mamake hiyo kitu kuwa mtoto wake hajulikani anahisia gani za kiume ndio pasua kichwa maana ni mtu mzima sasa
 
kuanzisha kanisa/dini sio rahisi kama udhaniavyo and its not the point. most gays were raised religiously b4 coming out, they just want to be acknowledged as members. Nobody wants separate churches/mosques for gays and straights.

You want a gay man to become a bishop!! umesahau mtafaruku uliotokea 2003 kwenye anglican church..
 
My worries is about his sexuality...sio kuoa
how close are you two?? ukiongea naye bila judgement anaweza kukwambia kwa nini haoi. i dont know about his sexuality, jaribu kumuuliza pia. how does he react akiwepo dada/kaka mwenye mvuto karibu, unaona tofauti yoyote kwenye body language yake?
 
how close are you two?? ukiongea naye bila judgement anaweza kukwambia kwa nini haoi. i dont know about his sexuality, jaribu kumuuliza pia. how does he react akiwepo dada/kaka mwenye mvuto karibu, unaona tofauti yoyote kwenye body language yake?

Wazee walimuingilia na bango la kuoa, yalikuwa maswali lini itafika siku yako, jibu ni kuwa bado, sasa wazee nao wamechoka wamejiachia. Ikabidi sisi madada tumuulize wifi lini utatuonesha jibu ni vile vile nasi tukajiachia kuuliza direct question. Lakini sasa utata ni kuwa hana histori ya kuwa na mwanamke au hata being accompanied a woman except those close to him.

Yeye hata akiona dada mzuri au wa aina yeyote ni nutral, hakuna reaction, tukasema labda ni gay hata hao wa design hizo hatumwoni nao. Kuwa ni mlokole si wa hivyo kama ni mtu wa kila saa na neno la mungu, nikajaribu kumintroduce kwa huyo dada japokuwa mawasiliano yanaendelea lakini nothing more nothing less mazungumzo ni ya kawaida ya hali ya hewa, chadema na sensa no flirting au yale ya kiujanja janja wa kiume.

Nimekuja kuona aibu mimi mwenyewe kwa huyu mdada maana mpaka sasa yule kaka hailekei, Ok hana ulazima na huyu mtu wangu lakini atleast tujue yuko category gani maana hizi mbili za kuwa straight or gay hayuko, nikafikiri kuwa kutakuwa na namna ya tatu ambayo siifahamu.
 
Dah i wish ningekua kama yeye! Ningekua nimejenga gorofa ninge sevu hela nyingi sana.!
 

Mpaka jibu lipo wazi
ana tatizo la 'uhanithi'
na uhanithi na mtu kuwa gay ni vitu viwili tofauti..

gay anaweza ku sex na both wanawake na wanaume..

h.a.n.i.t.h.i.anaweza kuwa anapenda wanawake lakini ni mlemavu kwenye viungo
due to pschology au physical injury au kazaliwa hivyo..

ha.n.i.t.h.i sio gay
 
Dah i wish ningekua kama yeye! Ningekua nimejenga gorofa ninge sevu hela nyingi sana.!

Ungekuwa tajiri lakini pia ni hiyo mihela na magorofa yana raha gani kama huna mtu wa kukupima joto. Halafu kwenye master bedroom inaiangalia tu!
 
hapa sijui kuna nini, naona mtanage tu sioni mshindi.

Blaine, sasa gays waende kwenye kanisa linaloruhuru gays watakuwa na amani zaidi.

Haya makanisa mengine hawawakubali kutokana na katiba zao kuwa gays sio member wao.

Ni kama chama kingine chochote ambapo mnakuwa na sifa za wanaoweza kujiunga, same applies to makanisa.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…