Huyu kaka ana jinsia gani?

lakini umuhimu wa kutazama 'bibi bomba' unauona? lol
 
NN nikuulize swali
nimewahi sikia mtu anaweza kuwa lesbo bila kujijua
sijui we umesikia hiyo?
na Gay je?
anaweza kuwa Gay bila kujijua?
how can you not know that you like other girls/boys. ukihamasika ukiona other girls/boys then u're lesbian/gay, unaweza usijue the actual words but you are still one... au ulikuwa unamaanisha nini?
 
ofu kozi, bibi bomba naelewa na ananichekesha.

Ukitaka kuona wasomi sana wanavyochukuliwa uswazi angalia ze komedi kuna kitu wanaita 'ze profesa' ni kama wanawananga maprof kwa kuwa hawezi fikiri vitu vidogo kabisa.

lakini umuhimu wa kutazama 'bibi bomba' unauona? lol
 
how can you not know that you like other girls/boys. ukihamasika ukiona other girls/boys then u're lesbian/gay, unaweza usijue the actual words but you are still one... au ulikuwa unamaanisha nini?

sijui
nimeuliza tu
kwa jinsi nilivyosikia

unakuta mdada hai enjoy sex na mwanaume
so wengine wanamwambia she is lesbo..
 
ofu kozi, bibi bomba naelewa na ananichekesha.

Ukitaka kuona wasomi sana wanavyochukuliwa uswazi angalia ze komedi kuna kitu wanaita 'ze profesa' ni kama wanawananga maprof kwa kuwa hawezi fikiri vitu vidogo kabisa.

Nilichomuelewa Kiranga
ni society kuwa yoote iko kama ni 'illiterate society'
huoni tofauti ya waliosoma na wasiosoma
wote asubuhi wananunua magazeti ya udaku zaidi
na kusikiliza radio za mipasho zaidi..
na mwisho maamuzi ni yale yale as if hakuna 'wasomi' kabisaa

wasomi wanapaswa ku 'have fun na yanayowahusu pia'....
 
Mmh ni rafiki yenu/yako kweli ?? Maana urafiki wetu ni Balaaa hakuna kuleana,Kila kitu Live hata Uchukie..we jamaa Bwabwa ..haya Demu huna Hata Kununua basi...Lazima unyooke..Sasa Mwambie huyo Jamaa awaambie Shida yake.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
kati ya vitu vinavyo-shape jinsi ya kufikiri ni pamoja na society.

Huwezi kuwa msomi mmoja ukabadili bevarior ya kijiji kizima.

Katika maendeleo ya aina hii, jamii nzima ina-evolve kwa pamoja kwa msaada wa wale waliondelea au wasomi.

Hivi na phd yako ukaishi tandale afu unataka uchukie taarabu utawezaje?? Wakati mtaa mzima wanapiga taarabu na kusoma udaku, lazima hata kama hupendi per se, utakuwa tolerant na vitu vya aina hiyo.

Na ukienda kwenye mazingira ambayo havipo unavimiss haswaa bila kujua, utajua ukiisikia taarabu New York moyo unaruka pah!

Kwani wasomi nao si binadamu? Manake ulivyoelezea ni kama vile wasomi ni breed tofauti kabisa na wengine ambao si wasomi.
 
sijui
nimeuliza tu
kwa jinsi nilivyosikia

unakuta mdada hai enjoy sex na mwanaume
so wengine wanamwambia she is lesbo..
is she attracted to other women? if not sio lesbian, labda huyo mwanaume hajui kumridhisha mwanamke sawasawa or some other reason.
 
Kwani wasomi nao si binadamu? Manake ulivyoelezea ni kama vile wasomi ni breed tofauti kabisa na wengine ambao si wasomi.

binadaamu but tofauti yao ionekane
usomi wao uonekane na faida zake kwa society
 
binadaamu but tofauti yao ionekane
usomi wao uonekane na faida zake kwa society

Umeshawahi kuishi among "wasomi" Boss? Kama umewahi basi sina shaka utakuwa unajua kwamba hata wao ni kama binadamu wengine tu. Kwenye gossip wamo, kwenye umbeya wamo, kwenye kucheat wamo, kwenye kusadiki wamo, kwenye kutetana wamo, kwenye kuoneana vijicho wamo, kwenye ulevi wa kila aina ya pombe wamo, n.k.
 
exactly
wanakuwemo kila mahali but still 'production' yao
inatazamiwa kuwa tofauti sio?
 
exactly
wanakuwemo kila mahali but still 'production' yao
inatazamiwa kuwa tofauti sio?

Sawa, lakini haishangazi sana nao wakionekana kujihusisha na gossip, umbeya, assumptions, n.k. Usomi wao haubadilishi ubinadamu wao.
 
Sawa, lakini haishangazi sana nao wakionekana kujihusisha na gossip, umbeya, assumptions, n.k. Usomi wao haubadilishi ubinadamu wao.

kabisa
lakini percentage ya wao kujihusisha na hayo inakuwa tofauti sio?
i mean msomi atanunua gazeti la udaku but still atanunua na gazetii serious ajue nchi inavyokwenda?
au atasikiliza kiduku lakini wakati wa taarifa ya habari ata pay attention na news
na sio full kiduku 24/7....
but ukikuta msomi anasikiliza kiduku 24/7 lazima ujiulize 'usomi wake' sio?
 
labda kwa nchi zilizoendelea au zenye uhuru wa vyombo vya habari.

Kwa huku kwetu habari zinachakachuliwa wengine wameshanunuliwa basi hata news wala magazeti yanakosa mantiki kabisa.

Sasa umeingia na mtindo wa watu kulipwa waandike kitabu kichachomhusu mtu, utakuwa na hamu ya kusoma kitabu hicho? Si bora kuangalia movie tu.

haiwezekani all news kuwa haifai..
tbc wanunuliwe.itv?
bbc?
voa?cnn?aljazeera?daily news?
 
ndio maana nikasema labda kwa nchi zilizoendelea au uangalie hizo za huko.

Inaweza kuwa news zote hazijachakachuliwa, lakini zile muhimu zote zimechakachukiwa, unakuwa sawa na kula makapi.

haiwezekani all news kuwa haifai..
tbc wanunuliwe.itv?
bbc?
voa?cnn?aljazeera?daily news?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…