Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
kabisa
lakini percentage ya wao kujihusisha na hayo inakuwa tofauti sio?
i mean msomi atanunua gazeti la udaku but still atanunua na gazetii serious ajue nchi inavyokwenda?
au atasikiliza kiduku lakini wakati wa taarifa ya habari ata pay attention na news
na sio full kiduku 24/7....
but ukikuta msomi anasikiliza kiduku 24/7 lazima ujiulize 'usomi wake' sio?
Mambo wanayofanya wasomi nyuma ya pazia utashangaa mwenyewe. Na siku hizi wala mtu huhitaji kwenda kwenye newsstand kununua gazeti. Access karibu ya kila kitu iko one click away.
Kwa hiyo asilimia ya wao kujihusisha na triviality hatuwezi kuijua hata kwa kukisia tu ingawa it's safe to say na wao wamo.