Huyu kaka ana jinsia gani?

Huyu kaka ana jinsia gani?

Nyani Ngabu , Kiranga , Kongosho naona bado mmeshikilia bango la kuwa huyu jamaa ni gay with almost now 10 pages and still sioni mwisho wa mabishano yenu. Nilishaweka wazi hilo kuwa si gay rudia tena kusoma my post maana hana dalili hizo. Na kama hana matamanio ya mwanamke hii inaweza kuwa ni ulemavo au nini....Hakuna aliyemshikia gun ya kuoa au kuambia asipofanya hivyo atapewa radhi. Still anayo maamuzi ya kama hataki kuoa anaweza baki hivyo.

Nilifikiri mtakuja na ushauri ya kuwa jamaa yuko matatizo ya saikolojia au viungo na sio kukazania aachwe kwa sababu kaamua gay. Na Gaijin , ningefurahi ningeona kuwa ni mhuni wa kuzaa ovyo kuliko kuwa mtu mwenye heshima, kumbuka pia nilisema kuwa maadili ya malezi huyo jamaa haimruhusu.

In nutshell naona mmezidi kuichakachua hii thread kwa kila mmoja kijionyesha anajua zaidi na kumbe hakuna hata moja aliyejaribu kufahamu malengo ya huu uzi.

Wapi nimesema huyu jamaa ni gay?

To the contrary siye miye niliyemtahadharisha Abdulhalim kuhusu ku form conclusion na kusema "majibu tunayajua" kwa ushahidi wa post za JF?

Hivi comprehension ya namna hii tukifeli mitihani tunalaumu Baraza la Mitihani na wasahihishaji nasi?
 
Last edited by a moderator:
Lanini povu na tatizo sio lako, siku nitakapo kuja kuliweka la kwako ndio unitafute. Hapa hakuna kusengenyana, inaonyesha wengi wenu hamjui maana yake. Unasengenya au kutoa aibu ikiwa umetaja identity yake, mbona saa nyingine ni wazito wa fikra?

Wekeni mawazo yenye kujenga si ya mambo ambayo hayana mbele wala nyuma. Hii nchi ina zaidi ya miaka 40 sasa bado tunagubikwa na lindi la umasikini kwa vile mawazo yetu ndo kama haya siku zote, hatukai kujadili vitu vya muhimu na vyenye kujenga. Wakati mwingine tunalaumu viongozi wetu kumbe tatizo kubwa ni sisi wenyewe. Mimi hata siku moja hutokuta najadili mambo kama hayo, na huwa napinga hadharani watu wenye hoja kama yako. Ingekuwa bora basi ungetungiwa wimbo maneno yako ama uimbie tarabu maana mambo ya kuoa na kuolewa ni maswala binafsi wala hatupashwi kuingilia.

Wako watu (wengi wao wanawake) ambao kila jambo siku hizi ni kuposti tu fb, redioni, nk hata kama linaweza kutatulika ktk level ya kifamilia.
 
Habari zenu wakuu, nina mtu wangu wa karibu hali yake inanipa utata. Yeye yuko late 30's amelelewa kilokole na pia hivyo nyumbani kulikuwa na maadili mazuri yaani it was very strict family, mambo ya ujana kwao yalikuwa hayana sehemu, kwahiyo mambo ya watoto wa mjini kwake yalikuwa hakuna.

Sasa yeye ni mtu mzima, mamake na nduguze wamepiga dau la kuoa wamechoka maana kihali na mali inamruhusu (anaishi peke yake). Kitu cha kushangaza huyu mtu hajawahi kuwa wala kuonekana na GF kama kawaida ya wanaume. Hana hata mtoto wa kusingiziwa, yaani urafiki na wanawake hana hata ule wa platonic hakuna zaidi ya sisi jamaa zake. Nimejaribu kumconnect na sister fulani hivi poa, kwa kuhisi labda atakuwa domo zege nalo halikufaa maana ni muda wako pamoja lakini mazungumzo hayaendi next level.

Kuwa ni mlokole si mlokole...jamani kuna jinsia gani zaidi kwa mwanaume kama mtu si gay or straight kuna 3rd option?

Kumbe wewe ni mwanaume mbona umeweka picha ya mwanamke kama avatar yako? Au na wewe ni wa Jinsia gani???
 
Wekeni mawazo yenye kujenga si ya mambo ambayo hayana mbele wala nyuma. Hii nchi ina zaidi ya miaka 40 sasa bado tunagubikwa na lindi la umasikini kwa vile mawazo yetu ndo kama haya siku zote, hatukai kujadili vitu vya muhimu na vyenye kujenga. Wakati mwingine tunalaumu viongozi wetu kumbe tatizo kubwa ni sisi wenyewe. Mimi hata siku moja hutokuta najadili mambo kama hayo, na huwa napinga hadharani watu wenye hoja kama yako. Ingekuwa bora basi ungetungiwa wimbo maneno yako ama uimbie tarabu maana mambo ya kuoa na kuolewa ni maswala binafsi wala hatupashwi kuingilia.

Wako watu (wengi wao wanawake) ambao kila jambo siku hizi ni kuposti tu fb, redioni, nk hata kama linaweza kutatulika ktk level ya kifamilia.

Hupendi kuchangia kwenye issue hizi, kakoje ukalale....
 
Korosho , no hard feelings, kilichonikwaza ni kuwa the whole issue some of them translated I am reffering him as a gay. Huo wa usemi wako wa 'Useja' nimeusoma, thanks
 
Last edited by a moderator:
Wewe ulishapewa jibu la kistaarabu kuwa umuache na yake lakini umeyashupalia mambo yake.
Kakwambia hapati anaowataka yeye, maa khussat ukamtafutie unaowataka wewe?!
Ni mtu mzima, muacheni na yake hususan kwa vile hafanyi mambo ya kipuuzi kiasi cha kusema labda anaharibu jina la ukoo

Kusoma na kufahamu ni vitu viwili tofauti na wewe unaonekana mzuri wa kusoma lakini kufahamu mzito. Kama angekuwa hataki angesema sitaki leave me alone au hata hizo contacts za huyo dada hangekuwa na ulazima wa kuzichukua.

Akiwa khanithi, akiwa khaboo, akiwa mtawa, akiwa mseja, akiwa mjane wa kudumu, yote ni yake muacheni, anaehitaji msaada husema japo kwa ishara. Huyo yeye anafanya yake tu, kumuingilia ni kukosa ustaarabu na heshima kwa maamuzi yake binafsi

Unakaa nae au uko karibu nae mpaka ujue kama hizo ishara, maana unasema kama unamjua vile,
 
...huyo kaka wa madameX yuko poa naamini...nina mfano halisi wa m2 mmoja aliyelelewa hivyo na akazushiwa maneno kama hayo ya uhanithi, ulemavu tena na watu wa kanisani kwake (walokole wenziwe). Alikuwa late 30z alichokifanya alioa kwa sababu ya pressure za watu wanaomzungika na kuharakisha kumzalisha mwanamke wake watoto wawili fasta afu akaondoka kusikojulikana ili aishi peke yake kama mwanzo!....mwacheni watu wa aina hiyo wapo!
 
wapo wanaooa hata na miaka 40,
kwani mna kiherehere cha nini na mtu wa watu.
 
Wakati mwingine huwa nafikiria kuwa labda ningemua tu kuwa kama huyo jamaa labda ningeepuka "stress" nyingi za mahusiano. Mimi naona nyie ndugu ndio mnaomsumbua jamaa kwa "stress" za kumlazimisha kuwa kama nyie mlivyo hata kama dalili zote zimeonyesha kuwa yeye hahitaji kuwa na mwanamke. Huyo jamaa alifaa sana kuwa kasisi (padre).
 
Wekeni mawazo yenye kujenga si ya mambo ambayo hayana mbele wala nyuma. Hii nchi ina zaidi ya miaka 40 sasa bado tunagubikwa na lindi la umasikini kwa vile mawazo yetu ndo kama haya siku zote, hatukai kujadili vitu vya muhimu na vyenye kujenga. Wakati mwingine tunalaumu viongozi wetu kumbe tatizo kubwa ni sisi wenyewe. Mimi hata siku moja hutokuta najadili mambo kama hayo, na huwa napinga hadharani watu wenye hoja kama yako. Ingekuwa bora basi ungetungiwa wimbo maneno yako ama uimbie tarabu maana mambo ya kuoa na kuolewa ni maswala binafsi wala hatupashwi kuingilia.

Wako watu (wengi wao wanawake) ambao kila jambo siku hizi ni kuposti tu fb, redioni, nk hata kama linaweza kutatulika ktk level ya kifamilia.

Yutong punguza jazba ndugu naona kama umekosea jukwaa vile. Hayo mambo ya umaskini wa zaidi ya miaka 40 wa wadanganyika huwa tunayajadili sana kwenye jukwaa la siasa tena wakati mwingine kwa jazba na matusi kweli. Huku ni mahusiano, mapenzi na urafiki tu.
 
Hupendi kuchangia kwenye issue hizi, kakoje ukalale....

MadameX hakukuwa na haja ya kumkashfu Yutong. Ungemsaidia tu kumjulisha kuwa hili siyo jukwaa la siasa ambapo yumkini mada za umaskini wa wadanganyika zinatendewa haki.
 
Back
Top Bottom