Huyu kaka ananifanya nifall in Love

Huyu kaka nampenda sijui namtamani ila ndo vile akiweka picha yangu dp ananiburudisha sana. Baby nakusubiri urudi tuendelee.
Yours
S....n
Hongera sana ni mwanzo mwema Mzigua, ila muwe mnaleta na mrejesho pia kadri ya muda unavyozidi kuwa mrefu zaidi maana mkiletaga habari njema kwenu kama hizi baadae huwa hamtupi yale yanayojiri huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…