Bonny
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 13,370
- 29,968
Mbona nimeambiwa nirud juu katajwa tayrNikoo tayari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona nimeambiwa nirud juu katajwa tayrNikoo tayari
Upendo wangu kwako hauna kipimo wala kikomo, nimekukabidhi kila kitu changu ni wewe tu kukitunza dearNashukuru kwa kunipenda pia
Hongera sana ni mwanzo mwema Mzigua, ila muwe mnaleta na mrejesho pia kadri ya muda unavyozidi kuwa mrefu zaidi maana mkiletaga habari njema kwenu kama hizi baadae huwa hamtupi yale yanayojiri huko.Huyu kaka nampenda sijui namtamani ila ndo vile akiweka picha yangu dp ananiburudisha sana. Baby nakusubiri urudi tuendelee.
Yours
S....n
Huyu mwifwa mbona anaongea veri sensitivu ishuUtaniharibia Mwifwa. Penzi langu la muda unataka kunichafulia
Huyu mwifwa mbona anaongea veri sensitivu ishuUtaniharibia Mwifwa. Penzi langu la muda unataka kunichafulia
Exactly but hii ya leo ni super, I'm sure hutoisahau loveKama ile ya juzi?
Anakuwa amejiamini hata vimeseji vyako ukiuliza hi bby anajibu baada ya nusu saa tena anajibu ,poa jombaaHahahaa... atazingua na nini?
Hapana siwezi kukuharibia, isitoshe hadi sasa hivi sijui muhusika ni nani wa hili bandiko.Utaniharibia Mwifwa. Penzi langu la muda unataka kunichafulia
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Huyu mwifwa mbona anaongea veri sensitivu ishu
Mtu akinilikia nampelekea faya hadi aombe feniIla unaliliwa eeeh?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Anakuwa amejiamini hata vimeseji vyako ukiuliza hi bby anajibu baada ya nusu saa tena anajibu ,poa jombaa
Ivi wewe uzee wako ukoje[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mtu akinilikia nampelekea faya hadi aombe feni