Huyu kaka ananifanya nifall in Love

Mkuu mwanadamu mwenzako kumwambie hivi si maadili
Kwa wengine anayo thamani
Na kuita binadamu mwenzako nguchiro si vyema
Halafu inaonesha kama ulianza kutoka miguu..
 
Halafu kumbe wewe ni new comer hujajua hata jinsi ya kujibizana na watu anyway huko fb umefunzwa hivyo, ila humu utatoka na Elimu ya kukufanya uwe na hekima kiasi.
 
Mkuu mwanadamu mwenzako kumwambie hivi si maadili
Kwa wengine anayo thamani
Na kuita binadamu mwenzako nguchiro si vyema
Halafu inaonesha kama ulianza kutoka miguu..
Ni mpuuzi. Sio wote watu humu wengine majinii ndo maana hawaangalii maneno ya kuandika. Mi nimeamua kumdharau tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…