Huyu kaka ananifanya nifall in Love

Huyu kaka ananifanya nifall in Love

NINAFAHAMU UNA MAUMIVU YA KUZALISHWA NA KUTEKELEZWA..NINAJUA UCHUNGU ULIONAO WA KULEA KA NGUCHILO.

POLE SANA..UMEKUWA UNA DHARAULIKA KWA WATU NA ATA NDUGU ZAKO WAMEKUSUSA BAADHI KWA KUOMBA KUSAIDIWA HELA KILA SIKU..POLE SANA BINTI

UKINIKASIRIKIA MIMI UNAKOSEA SANA KWANI UJANA WAKO UMEUHARIBU MWENYWE..APO SAIVI UMEKONGOROKA, UNAVUNDA SHIDA NA MIKOSI..POLE SANA..NAPATA HURUMA YA KUKUSAIDIA..!!
Mkuu mwanadamu mwenzako kumwambie hivi si maadili
Kwa wengine anayo thamani
Na kuita binadamu mwenzako nguchiro si vyema
Halafu inaonesha kama ulianza kutoka miguu..
 
Halafu kumbe wewe ni new comer hujajua hata jinsi ya kujibizana na watu anyway huko fb umefunzwa hivyo, ila humu utatoka na Elimu ya kukufanya uwe na hekima kiasi.
 
Mkuu mwanadamu mwenzako kumwambie hivi si maadili
Kwa wengine anayo thamani
Na kuita binadamu mwenzako nguchiro si vyema
Halafu inaonesha kama ulianza kutoka miguu..
Ni mpuuzi. Sio wote watu humu wengine majinii ndo maana hawaangalii maneno ya kuandika. Mi nimeamua kumdharau tu.
 
Back
Top Bottom