Huyu kaka ananifanya nifall in Love

Hao wa kuwekwa moyoni wawekwe tu acha ajifurahie tu kwakweli wa moyoni nani anawajua
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ni kweli, anastahili kuufurahisha moyo wake.

Kuna siku rafiki yangu aliwekwa DP, kuingia Facebook kakuta huko kawekwa mdada mwingine,kwenda insta.kakuta mambo mubashara na mdada mwigine tena.
 
Umeona eenh kila mtu anakuwa anapambana na hali yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…