dabluz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2013
- 2,456
- 1,672
DP inakaa moja tu Thad..ila zamu yangu ikifika niweke.[emoji85] [emoji85]Vipi na wewe nikuweke? [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DP inakaa moja tu Thad..ila zamu yangu ikifika niweke.[emoji85] [emoji85]Vipi na wewe nikuweke? [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Kila la kheri mwanakwetu, lima kwanza ila usisahau kumweka umpendae DP ili uifurajishe nafsi yake.[emoji12] [emoji12] [emoji12]Achaa tu mmy manake hata humu ni kwa mbinde majukum c unajua kilimo kwanza au [emoji15]
Ngoja nitoe iliyopo nikuweke wewe [emoji12] [emoji12] [emoji12]DP inakaa moja tu Thad..ila zamu yangu ikifika niweke.[emoji85] [emoji85]
Hahaha.... Ipo siku tu tutakubamba, kwasasa endelea ku enjoy status ya mtu asiyejulikanaHapo sawa. Actually hiyo S...n sio official name yangu. Kuna mtu huwa anaandika hilo jina humu kwenye comments basi tu hamjawahi ona.
Thanx ila na uzee huu kweli Dp n wajomba zako tuu kwa kweliKila la kheri mwanakwetu, lima kwanza ila usisahau kumweka umpendae DP ili uifurajishe nafsi yake.[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Nakuweka yote sibakizi hata kidogo
Kumbe tupo wengiHii kitu siwezi kabisa. Kuweka picha ya mwanamke DP!
Na bora ilikushinda maana wangekuweka wengi mpaka uchanganyikiwe badala ya kufurahi. [emoji12] [emoji12] [emoji12]Kumbe tupo wengi
Daah hii kitu ilinishinda kabisa. Siweki picha yake na yeye asiniweke.
Ahahahaaaaaa acha kabisa mydearNa bora ilikushinda maana wangekuweka wengi mpaka uchanganyikiwe badala ya kufurahi. [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Nakusabahi my dear!
Hakuna lolote uwindwe ili iwejeSaa nyingine sio list Shunie..naweza muweka mtu matokeo yake unaanza kuwindwa. Bora kuepusha shari
Namshukuru Mungu sijambo!Ahahahaaaaaa acha kabisa mydear
Kuwekana dp ni kuharibiana tuu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].
Mekumithiii [emoji85]
Vipi unaendeleaje lakini?
Huyo mkaka ulisomaga uzi wake wa mtu anatumia avatar ya mpenzi wake kumbe eti nilikuwa mm niliweka picha ya yule iryn wa mondi khaa sasa picha ya iryn anakuja kuanzishia thread na zimejaa instaYes dear. Umeshafika mjini? Nataka nije nikukande mgongo maaba utakua umechoka sana
EeeenhKumbe tupo wengi
Daah hii kitu ilinishinda kabisa. Siweki picha yake na yeye asiniweke.