Huyu kaka ananifanya nifall in Love

Huyu kaka ananifanya nifall in Love

Shunie hiki kitu nasema ila kina ukweli ndani yake ukilitazama kwa jicho la tatu.

Kuna mtu upo nae anafake kukupenda balaa at the same time kuna mtu anakupenda kiukweli anashinda kwenye nyumba za ibada kusudi tuu uwe mwanamke wa maisha yake wewe unazuzuka na dp ya tapeli kumbe jamaa linakufanya zezeta ili likukule vizuri ili hali halina mpango na wewe si ujinga huo,
Yule mwenye mapenzi ya dhati anavunjika moyo.

Aiseeh tukulane kwa starehe tuu tusidanganyane na kuzibiana riziki [emoji4][emoji4][emoji4].

NB ; hayo mambo tuwaachie wenzetu weupe, sisi weusi tumekuzwa na hali ya usiri mambo ya matangazo mpaka iwe OFFICIAL
Laiti wangekusikiliza
 
Naamini nimeliona jua kabla yako.
Najua kwa hakika nilisemalo
Ni kweli lakini hakuna kitu kama hicho hata yeye anaweza akasema. Tatizo haaaminiki [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom