Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Mfyuuuuuu zako mbona hawajawawoa nyieHao waliowaoa ndo wanatusumbua sisi wanatupenda wakati wamewaweka nyie dp. Kinachoweza kufanyika kifanyike tu bwana kama dp au moyoni haina noma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mfyuuuuuu zako mbona hawajawawoa nyieHao waliowaoa ndo wanatusumbua sisi wanatupenda wakati wamewaweka nyie dp. Kinachoweza kufanyika kifanyike tu bwana kama dp au moyoni haina noma
EheheheeeeeJaman poleni me nipo ndoani yaan nawekwa kama kawaida kama naiona michepuko huko ikinunua [emoji3][emoji3] jaman nawaombea mkuje kuolewa mje kuwekwa na mashemeji waliowaoa
AhahahaaaaaaHao waliowaoa ndo wanatusumbua sisi wanatupenda wakati wamewaweka nyie dp. Kinachoweza kufanyika kifanyike tu bwana kama dp au moyoni haina noma
Utaendelea kuwa nyumba ndogo mpaka lini mfyuuuuuuu ebu hukoSi ndo tunakua nyumba ndogo za kudumu sasa.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] bichwa lakoSa wakunyumba tulivyo wengi hivi unadhani tutaolewa wote kweli? Tunajibana huko huko na nyie wenye ndoa zenu
Display picturehivi DP kirefu chake ni nini vile? ...mhm kweli ushamba mzigo...
Laiti wangekusikilizaShunie hiki kitu nasema ila kina ukweli ndani yake ukilitazama kwa jicho la tatu.
Kuna mtu upo nae anafake kukupenda balaa at the same time kuna mtu anakupenda kiukweli anashinda kwenye nyumba za ibada kusudi tuu uwe mwanamke wa maisha yake wewe unazuzuka na dp ya tapeli kumbe jamaa linakufanya zezeta ili likukule vizuri ili hali halina mpango na wewe si ujinga huo,
Yule mwenye mapenzi ya dhati anavunjika moyo.
Aiseeh tukulane kwa starehe tuu tusidanganyane na kuzibiana riziki [emoji4][emoji4][emoji4].
NB ; hayo mambo tuwaachie wenzetu weupe, sisi weusi tumekuzwa na hali ya usiri mambo ya matangazo mpaka iwe OFFICIAL
Naamini nimeliona jua kabla yako.Msukuma rafiki yangu jamani. Cc Nyani Ngabu
Yes, umemzimia lkn haaminikiNi kweli lakini hakuna kitu kama hicho hata yeye anaweza akasema. Tatizo haaaminiki [emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe wasema, kwani mimi ni me hilo siwezi thibitishaNooo haaminiki kuwa akiwa karibu na mwanamke anaonekana kamla hata kama sio kweli.
Kwani hata akiwa baby wako tatizo ninii kwangi Ngabu sio mwanaume jaman tena bonge la muhandsomeBasi na nimesema pia yeye si bby wangu wa ukweli
Wasiokuwa ndoani ndio ujumbe unawahusuLaiti wangekusikiliza