@Arlen ndo kaifufua bby. Halafu Elgibo akajifanya ye ndo bingwa wa kuconnect dots.
Kumbe ni wewe kwenye dp ya ngabu loh
Kuna siku uliweka mdada bna.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eheheee ni wewe bnaMie rangi ile niipate wapi lakini Miss? Ningekua point five si mngekoma nyie maana na avatar ningeweka sura yangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngabu ana michepuko dunia nzima.Aliweka ya mdada kavaaje? Unaeza kuta aliweka ya wifi ako mwingine maana mwenyewe nilikua naona tu zinabadilika [emoji23]
Ngabu ana michepuko dunia nzima.
Yaani wewe ila ngabu bahili weweBaby J ntakuchapa...
Yaani wewe ila ngabu bahili wewe
Wewe fala unachunika tu mapaja ya kuku na uber mfyuuuHeheheheeee
Hivi sikukuhonga wewe eh?
Na maujanja yako yote ulishindwa kunichuna?
Wewe fala unachunika tu mapaja ya kuku na uber mfyuuu
hahaha sawa..
DaaaaahHuyu kaka nampenda sijui namtamani ila ndo vile akiweka picha yangu dp ananiburudisha sana. Baby nakusubiri urudi tuendelee.
Yours
S....n