Huyu kaka ananifanya nifall in Love

Huyu kaka ananifanya nifall in Love

Huyu kaka nampenda sijui namtamani ila ndo vile akiweka picha yangu dp ananiburudisha sana. Baby nakusubiri urudi tuendelee.
Yours
S....n
Ukisoma katika ya maneno utagundua unachokisema ni batili kwa maana sio kweli ila una wish iwe hivyo

You are picturing something and trying to send a message to yourself ili kuifurahisha nafsi yako(relief)

Few words speaks million messages
 
Back
Top Bottom