Huyu kaka ananifanya nifall in Love

Huyu kaka ananifanya nifall in Love

Lunch time dear.

Mwenye macho haaimbiwi njoo tule
View attachment 685516
Mmmma mma mamama. Weeeew.
Aisee upo darisalama eee?
Ina angalia wanaume unaowapapatikia.

Kapaja na kuku na tuchipthi tuwili.

Mifwa ndugu yangu daaaah.

Umekuwa kama kaka yake yake Inna anayeitwa Behaviourist Ndio misosi yake hio mzaliwa wa dar
 
Uuuuuh [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] ...ndo nn sasa kutamanishana
Anyway asante popo mwenzangu sio kwa upendo huo
Bora sisi tupendane maana kazi yake ni moja.

Kale kazee nako hakatabiriki, lazima uwe mjanja pia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

cc Saint Ivuga
 
Mmmma mma mamama. Weeeew.
Aisee upo darisalama eee?
Ina angalia wanaume unaowapapatikia.

Kapaja na kuku na tuchipthi tuwili.

Mifwa ndugu yangu daaaah.

Umekuwa kama kaka yake yake Inna anayeitwa @behaviorist ? Ndio misosi yake hio mzaliwa wa dar
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom