Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,453
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]leo de miss wangu nae kimya sijui kapatwa na nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]leo de miss wangu nae kimya sijui kapatwa na nini
Utawezaje kuweka na unao wengi jamanHii kitu siwezi kabisa. Kuweka picha ya mwanamke DP!
Fact nasubir jibu lake hapaUtawezaje kuweka na unao wengi jaman
Best, wakati wewe wafurahia kuwekwa DP kuna wenzako wamewekwa moyoni mwa huyo mkaka.....watch out!Huyu kaka nampenda sijui namtamani ila ndo vile akiweka picha yangu dp ananiburudisha sana. Baby nakusubiri urudi tuendelee.
Yours
S....n
Hao wa kuwekwa moyoni wawekwe tu acha ajifurahie tu kwakweli wa moyoni nani anawajuaBest, wakati wewe wafurahia kuwekwa DP kuna wenzako wamewekwa moyoni mwa huyo mkaka.....watch out!
Ngoja arudiFact nasubir jibu lake hapa
Uweke ili ugonganishe magari au? Sema mi alikua ananiweka kishkaji tu.Hii kitu siwezi kabisa. Kuweka picha ya mwanamke DP!
Njoohuyo kaka anabahati sana ,asiachie hii chanel
Hahahahaaa. Mi sijadumbukia popoteNi mwendo wa kudumbukia kwenye mapenzi tu mwaka huuu
Hahahaaa. Mi dp palikua pananitosha. Hakua bby tho mshkaji tu wa humuBest, wakati wewe wafurahia kuwekwa DP kuna wenzako wamewekwa moyoni mwa huyo mkaka.....watch out!
Teeeena. Wa moyoni ndo wanalia eeeh.Hao wa kuwekwa moyoni wawekwe tu acha ajifurahie tu kwakweli wa moyoni nani anawajua
Sina uhakika kama atarudNgoja arudi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] atarudi vipi na hana jibuSina uhakika kama atarud
Kila mwanamke wake atamfata inbox huyo ndio nani kwa nini umemuweka kwa dp
[emoji23][emoji23][emoji23]mm nimemuweka jr Dp wewe je
Lazima arudiSina uhakika kama atarud
Umeooona eeeh na akijibu nafukua makaburi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] atarudi vipi na hana jibu
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]