Shemeji unaanza tena mambo yako.....Nilipohamia hapa kuna mkaka nimemkuta huyu jirani simuelewi kabisa ananitumia meseji muda wote, nikitoka nje nikimwangalia ananionea aibu, na sijawahi kumuona na mwanamke ila anaonekana ana mambo mengi maana muda wote anaongea na simu tu.
Nimewamiss wana jukwaa😍🙂↕️😔
Ndo kila muda ni habari hizohizo tuAnanisalimia au ananiambia kuhusu umeme au kuhusu kuhama
Kwamba atakuwa anamwangalia tu😆 😆 😆 Huyo ana aibu, hawezi.
Kuna siku nilimkaribisha chakula akanisifia najua kupika anataka apeleke mahari home wapi akaniulizaNdo kila muda ni habari hizohizo tu
Shemeji nimeacha😁😁😁Shemeji unaanza tena mambo yako.....
SijaelewaI think JF is only hope you have .
Moderator mngeuganisha I'd zake huyu
I'd zako ziunganishweSijaelewa
Mbona makasirikoKenge weee
Hii ndiyo I'd yangu sina nyingineI'd zako ziunganishwe
Ngoja ufike 30's uolewe na YEYEYOTE ANAEPUMUA..!!!Siwezi kudate naye siyo type ya wanaume naowakubali
Sasa unasema humuelewi kabisa wakati ameshakwambia anataka kukuoaKuna siku nilimkaribisha chakula akanisifia najua kupika anataka apeleke mahari home wapi akaniuliza
Kwa hiyo ile ID ya zamani umegoma kuirudia?Siwezi kudate naye siyo type ya wanaume naowakubali
Wewe sio unique Flower ?Hii ndiyo I'd yangu sina nyingine
Siyo mimi mkuuWewe sio unique Flower ?
Umeshamwambia? Au bado hujaamkaSawa ntamwambia kesho
Kwa hiyo ile ID ya zamani umegoma kuirudia?
Sijakutana naye kabisa asubuhi hiiUmeshamwambia? Au bado hujaamka
Anazingua hawezi kukosa mtu wa kumuoaSasa unasema humuelewi kabisa wakati ameshakwambia anataka kukuoa
Ila unamjua ?Siyo mimi mkuu