kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
- Thread starter
-
- #141
Nàmba yangu alipewa na mwenye nyumbaWe binti mmbeya kweli bora hata ungekuwa mtanga.
Sasa mambo madogo hayo ya sms unakuja kutangaza wakati namba yako ulitoa mwenyewe. Pia unajua mtu mwenyewe huwa yupo bize na simu, ulitaka awe bize na nani sasa kama sio contact list yake na wewe ukiwemo
Mnyang'anye namba yako😎
Kuwa na adabu kidogoHuwezi kufanya nini kufilwa au?
Huwezi kufanya nini kufilwa au?
Huyo amezidi. Sio kidogo tu, sanaKuwa na adabu kidogo
Mh hiyo kali sasa😁😁Bora asieleweke maana wanawake huwa hamueleweki ukikutana na kisichoeleweka Chenzako ndiyo mnaelewana
Kapewa na mwenye nyumbaNamba zako katoa wapi?
Kwahiyo hapo mshaanza kutongozanaApo kwenye kuongea na simu mda wote ndio kumefanya nijue sio mimi mana mdada mpangaji mpya hapa kanipa namba leo siku ya nne tu ila tumechat mno.
Nawewe unaonekana ushampenda, mpe Tu utamu usijaliKapewa na mwenye nyumba
Mpo daraja moja mkuu,wale wa intsro....... Nini sijui.Kamwambie kuwa humuelewi usituambie we don't know anything about him!
Mpe anachokitakaNilipohamia hapa kuna mkaka nimemkuta huyu jirani simuelewi kabisa ananitumia meseji muda wote, nikitoka nje nikimwangalia ananionea aibu, na sijawahi kumuona na mwanamke ila anaonekana ana mambo mengi maana muda wote anaongea na simu tu.
Nimewamiss wana jukwaa😍🙂↕️😔
Siyo kweli mkuu ana demu wake anakujaga namuonaNawewe unaonekana ushampenda, mpe Tu utamu usijali
Anataka nini itakuwaMpe anachokitaka
Nimtunuku nini?Mtunuku
Kivipi sasa?Mh hiyo kali sasa😁😁
Dahh ni huzuni kwakweliSina cha kuongeza zaidi ya kuwakumbusha tu kuwa Microsoft will end support for Windows 10 on October 14, 2025, meaning no more free security updates or technical assistance will be provided.
Kwamba wote hatuelewekiKivipi sasa?
Hamjawi , haitotokea mueleweke nyie dawa yenu ni ileile kutoeleweka ngoma drawKwamba wote hatueleweki