Huyu Kamanda wa Jeshi anatukera sana wakazi wa Mbezi

Huyu Kamanda wa Jeshi anatukera sana wakazi wa Mbezi

... huyu jamaa sijui ana tatizo gani. Mbona Jenerali Mabeyo tunapishana naye mitaa ya Segerea kila siku kikawaida kabisa bila wananchi kuwekwa pembeni au kugandishwa kwenye foleni. Anasahau kila mtu anawahi kwenye mihangaiko yake na sio yeye tu.

Kweli kabisa, hata mimi huwa naona Mabeyo hanaga misafara ya hovyo, wala hawaweki watu kwa foleni mda mrefu sana
 
Ningekuwa nakaa huko na mimi ningefunga king'ora kwenye gari langu. Nikiona foleni na mimi nawasha king'ora changu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najua kuna watu wa system humu wataifikisha salamu yangu kwa niaba ya wengi....heri kuongea kuliko kukaa kimya!
Hata yeye anaweza kuwemo humu akasoma, nafikiri wangetumia utaratibu Wa kuvuta magari kwa zamu ili kuondoa uxheleweshaji kwa watu walioamka mqpema ili wawahi makazini, katika vitu ninavyochukia ni foleni na upendeleo barabarani, ukiondoa Wa viongozi wakuu 3 wengine sio lazima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwann usiwah kutoka ww badala ya yeye
... sidhani yeye kama yeye mleta mada Kaka Pekee kuwahi ni tatizo; katika post hii anawakilisha wananchi walio wengi. Labda unataka kusema wananchi wote wa maeneo hayo wawahi kabla ya huyo kamanda. Na kama ndivyo, ukamanda wake hauna maana kwa sababu nafasi au cheo chake ni kwa ajili ya wananchi na sio wananchi kwa ajili ya cheo chake.
 
Mkuu wa majeshi ni nani kama siyo Mabeyo? Kama siyo yeye nani anaruhusiwa kusimamsha magari ili apite?
Wanaoruhusiwa kusimamisha magari ili wapite sio yeye tu kwa wenye vyeo vya kijeshi... Mabeyo anaishi maeneo ya segerea hukoo... Huko tegeta ni maofisa wa jeshi wengine tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
... sidhani yeye kama yeye mleta mada Kaka Pekee kuwahi ni tatizo; katika post hii anawakilisha wananchi walio wengi. Labda unataka kusema wananchi wote wa maeneo hayo wawahi kabla ya huyo kamanda. Na kama ndivyo, ukamanda wake hauna maana kwa sababu nafasi au cheo chake ni kwa ajili ya wananchi na sio wananchi kwa ajili ya cheo chake.
Asante kwa kunisaidia kumjibu huyu jamaa, nilishaacha kujibu wanaotoa maoni bila kufikiria upana wa mawazo yao unapoishia!
 
... huyu jamaa sijui ana tatizo gani. Mbona Jenerali Mabeyo tunapishana naye mitaa ya Segerea kila siku kikawaida kabisa bila wananchi kuwekwa pembeni au kugandishwa kwenye foleni. Anasahau kila mtu anawahi kwenye mihangaiko yake na sio yeye tu.
Kabisa, Mabeyo ni magari yake matatu na yanapenya fasta hakuna cha foleni wala nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muongo huyo.. Gari ya kiongozi haiwashwi kiongozi akiwa ndani... Maandalizi hufanywa kabla hajatoka hata ndani... Mmesahau kiongozi mkubwa gari inamfata karibu na anakotokea! So maana yake iliposimamishwa ikazimwa??

Sent using Jamii Forums mobile app
Gari ya boss always inakuwa iko tayari lakini hao wapambe gari zao ni land tover zilizochoka na linapotokea lboss lazima asubiri nae

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Back
Top Bottom