mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Acha ujinga Wewe mjingamimi
Acha Uzwazwa wewe...na wewe "CHUNGA SANA" pia!
... huyu jamaa sijui ana tatizo gani. Mbona Jenerali Mabeyo tunapishana naye mitaa ya Segerea kila siku kikawaida kabisa bila wananchi kuwekwa pembeni au kugandishwa kwenye foleni. Anasahau kila mtu anawahi kwenye mihangaiko yake na sio yeye tu.
Chief of staff ni luten generali ni haki yake kuwa na msafara
Hata ya kwangu yanafanana na ya mamunyange.napenda macho ya D. Mwamunyange kweli
[emoji23][emoji23][emoji23]napenda macho ya D. Mwamunyange kweli
kweliiiii
Hata yeye anaweza kuwemo humu akasoma, nafikiri wangetumia utaratibu Wa kuvuta magari kwa zamu ili kuondoa uxheleweshaji kwa watu walioamka mqpema ili wawahi makazini, katika vitu ninavyochukia ni foleni na upendeleo barabarani, ukiondoa Wa viongozi wakuu 3 wengine sio lazima.Najua kuna watu wa system humu wataifikisha salamu yangu kwa niaba ya wengi....heri kuongea kuliko kukaa kimya!
Hahaha itakua aliitwa akasukumaDu gari likakataa kuwaka na mbwembwe zote hizo, vipi hukuitwa wewe kuja hapa!!! Sukuma hii gari kwa meno mpaka iwake.
Hahaha Mwanaume WA Dar umecheka mpaka unataka kudondoka kwa kitiHahahahahaha....aise nimecheka kwa nguvu mno, kidogo nidondoke kwenye kiti, hahahahaha..
Laana za kunyanyasa raia hizo...
Hahahahahha...ni shida kwa kweli...ungerekodi mkuu tucheke zaidi...πππ
... sidhani yeye kama yeye mleta mada Kaka Pekee kuwahi ni tatizo; katika post hii anawakilisha wananchi walio wengi. Labda unataka kusema wananchi wote wa maeneo hayo wawahi kabla ya huyo kamanda. Na kama ndivyo, ukamanda wake hauna maana kwa sababu nafasi au cheo chake ni kwa ajili ya wananchi na sio wananchi kwa ajili ya cheo chake.kwann usiwah kutoka ww badala ya yeye
Wanaoruhusiwa kusimamisha magari ili wapite sio yeye tu kwa wenye vyeo vya kijeshi... Mabeyo anaishi maeneo ya segerea hukoo... Huko tegeta ni maofisa wa jeshi wengine tuMkuu wa majeshi ni nani kama siyo Mabeyo? Kama siyo yeye nani anaruhusiwa kusimamsha magari ili apite?
Asante kwa kunisaidia kumjibu huyu jamaa, nilishaacha kujibu wanaotoa maoni bila kufikiria upana wa mawazo yao unapoishia!... sidhani yeye kama yeye mleta mada Kaka Pekee kuwahi ni tatizo; katika post hii anawakilisha wananchi walio wengi. Labda unataka kusema wananchi wote wa maeneo hayo wawahi kabla ya huyo kamanda. Na kama ndivyo, ukamanda wake hauna maana kwa sababu nafasi au cheo chake ni kwa ajili ya wananchi na sio wananchi kwa ajili ya cheo chake.
Kabisa, Mabeyo ni magari yake matatu na yanapenya fasta hakuna cha foleni wala nini... huyu jamaa sijui ana tatizo gani. Mbona Jenerali Mabeyo tunapishana naye mitaa ya Segerea kila siku kikawaida kabisa bila wananchi kuwekwa pembeni au kugandishwa kwenye foleni. Anasahau kila mtu anawahi kwenye mihangaiko yake na sio yeye tu.
Gari ya boss always inakuwa iko tayari lakini hao wapambe gari zao ni land tover zilizochoka na linapotokea lboss lazima asubiri naeMuongo huyo.. Gari ya kiongozi haiwashwi kiongozi akiwa ndani... Maandalizi hufanywa kabla hajatoka hata ndani... Mmesahau kiongozi mkubwa gari inamfata karibu na anakotokea! So maana yake iliposimamishwa ikazimwa??
Sent using Jamii Forums mobile app
Gari ni mbili ujue mojaNauona uongo flani hapa... Gari ya kiongozi inasubiri apande ndo iwashwe?? Au ulisimuliwa sehemu.. Labda kama ilikuwa movie kweli kama unavyosema
Sent using Jamii Forums mobile app