The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Guys
Kwani huyo mzee.wa mwisho kulia angemkata tu asionekane maana kaharibu kila.kitu tunashindwa kucoment.
View attachment 3597052
Huu msiba hauna uhusiano na ccm. Huyo mpuuzi aliyevaa shati la kijani angezuiwa getini asiingie.Yaani hawa MACCM ... sasa wameamua kuteka Msiba wa watu ili tu watafute platform ya KISIASA. Sasa hapo hata wanafamilia wamewekwa nyuma na pembeni kwa kujifanya ni Msiba wa Kitaifa.
Hawawezi kusogea hapo hayo majambaziSijamuona JK, Samuya na Bashite hawa ni washirika waliomng'oa Jiwe.
Halafu ukizoom kiatu chake amevaa raba sio dundo.Guys
Kwani huyo mzee.wa mwisho kulia angemkata tu asionekane maana kaharibu kila.kitu tunashindwa kucoment.
View attachment 3597052
Viatu itakuwa ni AIHalafu ukizoom kiatu chake amevaa raba sio dundo.
Viongozi wenu mbona nawao hatujawaona???Chura kiziwi kaingia mitini
Jakaya alikuwepo?Chura kiziwi kaingia mitini
Hana nguo zingine,ndio hizo za msaadaHuu msiba hauna uhusiano na ccm. Huyo mpuuzi aliyevaa shati la kijani angezuiwa getini asiingie.
Huyu mtu wenu hatokuwa Rais kamwe!Hilo tukio ni zaidi ya msiba!
Hotuba ya nchimbi inatafakarisha sana!
Yaani anamaanisha kafika hapo kwa msaada wa jpm hivyo kavivaa viatu vyake ipasavyo!!
Namwelewa!!
Hizo suit nyeusi aiseh ni deadly!!