Abbas Kandoro amewasilisha maoni ya wakuu wa mikoa ya katiba. akasema eti watu wenye mzazi mmoja ambaye si raia hawana haki ya uraia Tanzania. Eti allegiance yao itakuwa elsewhere!!! yeye mwenye ni shombe la kiarabu, hajioni? mbona kapewa madaraka? Yaani Kandoro ndo mwenye kutoa hilo pendekezo? Nadhani viongozi wetu wamelewa kabisa, wanataka katiba ilete ubaguzi? Kama USA inatawaliwa na mtu ambaye mzazi wake mmoja ni Mkenye, tena baba mtu, ndo Tanzania sis ni special kuleta ubaguzi huo? Tafakari