Huyu Kandoro haoni ushombe wake?

Huyu Kandoro haoni ushombe wake?

kalisa

Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
37
Reaction score
7
Abbas Kandoro amewasilisha maoni ya wakuu wa mikoa ya katiba. akasema eti watu wenye mzazi mmoja ambaye si raia hawana haki ya uraia Tanzania. Eti allegiance yao itakuwa elsewhere!!! yeye mwenye ni shombe la kiarabu, hajioni? mbona kapewa madaraka? Yaani Kandoro ndo mwenye kutoa hilo pendekezo? Nadhani viongozi wetu wamelewa kabisa, wanataka katiba ilete ubaguzi? Kama USA inatawaliwa na mtu ambaye mzazi wake mmoja ni Mkenye, tena baba mtu, ndo Tanzania sis ni special kuleta ubaguzi huo? Tafakari
 
Abbas Kandoro amewasilisha maoni ya wakuu wa mikoa ya katiba. akasema eti watu wenye mzazi mmoja ambaye si raia hawana haki ya uraia Tanzania. Eti allegiance yao itakuwa elsewhere!!! yeye mwenye ni shombe la kiarabu , hajioni? mbona kapewa madaraka? Yaani Kandoro ndo mwenye kutoa hilo pendekezo? Nadhani viongozi wetu wamelewa kabisa, wanataka katiba ilete ubaguzi? Kama USA inatawaliwa na mtu ambaye mzazi wake mmoja ni Mkenye, tena baba mtu, ndo Tanzania sis ni special kuleta ubaguzi huo? Tafakari

..hapo kwenye bold it is not true, yeye ana mchanganyiko wa mzazi mmoja wa Kisomali na mwingine wa Kinyalukolo!
 
huyu mzee ni msomali kuna picha za mwanae yupo uchi zumezagaa kwenye mitandao yaani ni mwarabu
 
huyu mzee ni msomali kuna picha za mwanae yupo uchi zumezagaa kwenye mitandao yaani ni mwarabu

na sijui kitu gani alikifanya mpaka Jk akamtoa Dar kumpeleka Mwanza
 
Back
Top Bottom