Huyu kanichosha

 
Huyo Mwanamke kweli ni kilaza washirikishe viongozi wa Dini na wazazi wa pande zote mbili labda atabadilika.
 
Nina situation kama ya jamaa, kwa namna nilivyokuwa nampenda wife na hasa anavyovutia nikawa naogopa nikimuacha atapata mtu alafu atabadirika alafu wanafanya mambo makubwa ya mafanikio na huyo jamaa huku jamaa akifaudu kumtafuna mke wangu, nikawa kwenye fikra za namna hiyo kwa muda mrefu sana.

Na ikawa kila akipoteza pesa nyingi sana katikati ya ugomvi eti anashika mimba, mtoto wa kwanza haikuwa hivyo, ila wapili alishika mimba katikati ya ugomvi baada ya kupoteza pesa, akazaa mtoto tunafanana sana nikaachana na ugomvi. Upuuzi wake wa kitabia kama mke wa huyu jamaa kila kitu ikiendelea kama kawaida, baada ya miaka mitatu akapoteza pesa ingine nyingi zaidi ya mwanzo hii nikaanza mpaka mchakato wa taraka sasa, sijui alinitegea au uboya wangu mwenyewe katikati ya ugomvi mkubwa akatangaza mimba tena, nikapoa akazaa, tabia zake ziko pale pale.

Wakati huo kwanza nilikuwa nasema lazima mtoto wangu akulie kwenye mazingira bora kabisa ya kifamilia, kisha ikawa watoto wangu mpaka wamefikia watatu.

Hoja nzito walizokuwa wakileta ndugu zake na yeye mwenyewe na ndugu zangu wakawa wanazisupport kwenye vikao (japo tukiwa wenyewe wanazipiga chini) ikawa ni watoto, kwamba tukiachana watoto watapata tabu, familia yetu ni nzuri sana tusiiharibu, oooh Mungu ataleta zingine na promises za wife kubadirika zote hazikusaidia HAKUBADIRIKA

siku moja nikakaa nakutafakari, kama nikifa leo watoto wangu ntawasadiaje, au mke wangu hataliwa na wanaume wengine? Na hizi mali, ambazo ni chache sana kiukweli ntaenda nazo kaburini, nikatafakari namna watu waliokulia maisha ya tabu wanavyo perform vizuri kwenye maisha na namna wake za watu wanavyogegedwa mitaani, nikafikia maamuzi BREAK IT UP.

I BROKE IT UP. nikamuachia kila kitu kinachotafutika, kila kitu, nikaondoka ,nikauhama na mji na kazi nikaacha nikasepa.

WHAT A HAPPY MAN I AM TODAY.
 
Pole mkuu ila ilifanya uamuzi mzito saana
 
Chori huyo piga chini atakutia umasikini.
 
Mkuu hapo Fanya maamuzi magumu tu alafu owa mwengine akikisha awe kaishia darasa la saba au Form Four kidogo hawa wanaheshima lakini hao walio graduate wengi wao hawajui majukumu yao kupika, kufua kumhudumia mme

Piga Chini achana na fikra Mgando kuwa Ndoa ni Pingu Za Maisha
 
Asante mkuu
 
Nina moyo wa huruma lakin kwa hii kesi yako, ndo ingekuwa mimi cjui, juzi tuu hapa wangu kapata hasara ya 1.2m dukan, nimempiga biti la kufa mtu na kumuongezea madaftar ya kuandika kila senti inayoingia na kutoka dukani na kamera za siri bila yeye kujua. Hawa viumbe hawa cjui tatizo nn maana wakiwa hoi kwenye wallet zao wanatia huruma kweli lakin wakizipata mmmmmhhhh
 
Du mkuu ungefungua uzi kamili watu wajifunze kupitia ww naona kama yamekukuta mazito
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…