Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Hivi wewe unaakili kweli yaani matukio yote hayo polisi waliopewa dhamana ya kuingia sehemu yeyote wasijue wanaanzia wapiMkuu polisi wetu wanapambana sana jua hilo..
Mkuu mambo sio mepesi hivo kama unavyozani.
Hakuna mamlaka kubwa juu ya rais.. mkuuand thats why nakuambia hao watu wanajulikana na wanalindwa na mamlaka za juu na ndio maana ni ngumu ku deal nao. swali kwako mr poor brain kuna mamlaka gan ya juu zaid ya raisi?
Mfano wewe ni polisi..Hivi wewe unaakili kweli yaani matukio yote hayo polisi waliopewa dhamana ya kuingia sehemu yeyote wasijue wanaanzia wapi
Damu yake tayari inawalilia watekaji/wauaji na machawa waoSikupata taarifa vizuri naomba msaada
wawapi gentleman?Sikupata taarifa vizuri naomba msaada
Siyo kweli hata kidogo.Kuna mambo yanaendelea..
Hivi mshawahi waza kama kuna kikundi cha watu kinafanya haya mambo ili tu watu wawe na uhusiano mbaya na serikali yao...
Ningeanzia kukataa kutumwa kuteka watu wanaokosoa serikali bila kuvunja sheriaMfano wewe ni polisi..
Ungeanzia wapi
Huyo akili hamna kichwani we si umeona hata jina lakeSiyo kweli hata kidogo.
Shughulisha akili utauona ukweli, achana na propaganda za ccm.
unalojibu mkuu. hayo mambo sio coincidence ,ukiunganisha pattern vizur akili yako ita ji un lock. hayo mambo yana baraka kutoka sehem flani ya mamlaka za juu and they realy mean what we seeHakuna mamlaka kubwa juu ya rais.. mkuu
Huwa nawaza ni bora angekuwa jela.... Lakini walisha mpoteza kisa picha.Anaitwa Shedrack Yusuph Chaula, huyu kijana alichoma picha ya raisi wa JMT akuhukumiwa kwenda jela miaka miwili au kulipa faini. Wadau wakajikusanya wakamlipia faini. Aliporudi uraiani "watu wasiojulikana" wakamnyakua, mpaka leo hajulikani alipo.
Isije tu ikawa umekuja kupima kina cha maji. Kama mlishamuua, mtuambie tu. Ilani naamini damu ya huyu kijana haitawaacha salama. Kwa sababu ni ukweli ulio wazi; hakufanya kosa lolote lile.Sikupata taarifa vizuri naomba msaada
Tena picha yenyewe aliichora mwenyewe na akaichana mwenyewe wakamuua ,huyu mama ni ibilisi kamiliHuyu dikteta kaua watanzania wengi sana.yaani kijana wa watu alichana tu picha ya huyu dikiteta na kuuliwa.Halafu yeye akiambiwa Kwa kutolea Mfano tu angekuwa mwanae angejisikiaje anakimbilia kufunga kanisa.madaraka ya kurithi ni hatari sana.
Ujinga tu wa viongozi hakuna lingineKijana alikuwa na mihemuko ya bange la kugongea....
Pamoja na yote ila kuchoma moto picha ya Rais kwenye nchi kama hii ni kujitakia mabaya, kwasababu mwisho wa siku ni wewe peke yako ndo utakalishwa kwenye chupa ya PEPSI bila utelezi...
Huyu dikteta hafai kabisa kupewa nchi.ukimkosoa tu anakuteka na kukupoteza.Tena picha yenyewe aliichora mwenyewe na akaichana mwenyewe wakamuua ,huyu mama ni ibilisi kamili
Na picha yenyewe ya Samia wala siyo ile inayotolewa na Serikali au Chama, ni ile ambayo kijana aliichora kwa mkono wake kisha akaona aichane. Mtu anauawa kwa kuchana picha aliyoichora mwenyewe ila mafisadi yanayolihujumu taifa hayauawi. 🙆Huyu dikteta kaua watanzania wengi sana.yaani kijana wa watu alichana tu picha ya huyu dikiteta na kuuliwa.Halafu yeye akiambiwa Kwa kutolea Mfano tu angekuwa mwanae angejisikiaje anakimbilia kufunga kanisa.madaraka ya kurithi ni hatari sana.
Jina lako lina akisi ulicho andika poorBrain😅, serikali ina mkono mrefu ingesha kikamata hicho kikundi cha hao watu.Kuna mambo yanaendelea..
Hivi mshawahi waza kama kuna kikundi cha watu kinafanya haya mambo ili tu watu wawe na uhusiano mbaya na serikali yao...