Huyu kijana Goodlucky Gosbert anajua sana

Mkuu kwann umechagua kuwaumiza wenzako kihisia na kiroho. Utaki wabarikiwe ?

Wabarikiwe na nani?

Hii kuimba,kuigiza,etc ni Kwa ajili ya human enjoyment kama enjoyment we all get from other things like sex,cocaine,alcohol,TV,instagram,porn,etc...

Sasa kama una-confuse human enjoyment na kubarikiwa I really cant help but wonder!
 
kiukweli huyu jamaa yupo vizuri sana katika uimbaji BUT WHY ANAKUA NA SWAGA ZA KIKE!? mapozi kama dem, kurembua kama dem, kuramba midomo kama dem, nyusi kama dem n.k
Me sipendi ...yaan sijui kwa nini anakuwa hivi
 
Yaan sehem niliyoipenda anavyosema MUNGU ww ni mkuu kuliko ninavyokutazama baba unisamehe...
Mkuu yaani nilivyosoma title kabla sijafungua uzi nikaanza kuimba huu wimbo nashangaa na wewe umeuweka huo. Hakuna wimbo wa Goodluck unanibariki kama huu, unafuatiwa na ule wa shukurani
 
Kuna nyimbo na uimbaji flani badala ya kukufanya ufurahi au uwaze starehe unajikuta unakuwa calm na kuanza kutafakari neno na uwezo wa Mungu.
Mfano nyimbo za kuabudu hasa tenzi za rohoni, uimbaji wake na mapigo haukufanyi ufurahi uruke ruke unakufanya utafakari neno baada ya neno.
Hata huo wimbo mimi kuna muda nakuwaka na issues ambazo nawaza God why me, lakini nikiusikiliza ndipo naona Mungu kanitendea mengi mema kusema why me ni sawa na kukufuru.
 

Nakuelewa,ila naomba uelewe kitu kimoja:

Chemical iliyopo mwilini inayofanya ujisikie raha au huzuni ni ya aina moja inaitwa Dopamine!

Dopemine gives you the emotions of happiness,sadness,etc

Dopamine is an organic chemical of the catecholamine and phenethylamine families that plays several important roles in the brain and body,it is a neurotransmitter and precursor of other substances in the body including adrenaline!

Unaposikiliza muziki au unapokula cocaine unafurahi na kurukaruka au unahuzunika na kutoa machozi na kutetemeka sio mungu anafanya lolote,ni reaction ya dopamine!

Hakuna uwepo wa Mungu au eti upako and some shit like that!

Na ikizidi sana unafadhaika na unaweza kwenda into a coma kama mla unga yoyote!
 
Sasa hao si old school, msiwasikilize wasafi basi na kina shetta kwa maana hawana nyimbo kama za nature na feruzi

Wapo new school wengi ambao ukisikiliza unakubali moja kwa moja bila kusita. Inabjdi ujue mpiga hela na mwenye wito wa kweli. Wengi waimbaji wa gospel siku hizi ni show offs, mwisho wa siku wanaishia kuwa kama rose mhando.. Huezi kufeki milele.
 
Yote hayo yanatokea kwa kuwa ni Muumbaji aliyoumba mwili ufanye hivyo. Hata ukisali Ukiswali, ile kuongea na kutoa sauti au kuinama na kuinuka siyo Mungu anayefanya hivyo moja kwa moja ni mfumo wa fahamu unao control misuli yako ifanye vile lakini bado tunasema mahali hapa na yanayofanyika kuna uwepo wa Mungu.
Au wewe ni mtu usiye amini uwepo wa Mungu? Kama ndiyo basi hapo siwezi pinga hoja yako kwakuwa huwezi mwaminisha mtu kwa kutumia ushahidi asiyo uamini.
 
Dogo Baraka da Prince kama angeendelea kuishi naye vizuri goodlucky naona angekuwa bado yupo katika chati,lakini kajitia jeuri wakati kutunga kwenyewe hajua sasa hivi anapumulia mipira,mziki ushamshinda.
 
Naungana na wewe bwana mdogo
 

Hahahahahaha

Kama Mungu anasimamia kila kitu kwenye mwili wako mpaka ubongo,mawazo,etc ni kazi ya Mungu...

Na ukitukana pia ni kazi ya mungu maana umetumia ubongo,ni chemical reactions ndani ya ubongo wako ambapo mungu ndio anasimamia ikatoa jibu tukana au ua huyu..

Ikifika hapo utamtoa mungu utaanza kumsingizia kua ni shetani,hivyo kumbe mungu sio kila wakati yupo mwilini mwako akiendesha vitu?!!!

Wapenda Mungu mna vituko sana.....Kibaya mnamsingizia shetani,kizuri mnamsingizia Mungu....hivi sijui mpojee aisee!
 
Nimejikuta nacheka baada ya kusoma jibu lako maana linafikirisha nyie wakina Kiranga mnakuwa na akili kubwa katika ku argue.
Acha bwana kunitoa katika reli ngoja niamini nisipomkuta nitakuwa sijakosa lolote nikimkuta huenda nikasalimika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…