Mi hainiingii akilini mtu ambae alikuwa CEO mda wake ukaisha akaja CEO mwingine halafu anakuwepo CEO wa zamani anafanya kazi ambazo kimsingi alitakiwa azifanye wakati wa utalawa wake. Yaani mara usikie ametumwa wapi huko mara umsikie anatoa matamko. Sielewi aisee hebu wajuvi mje
Tatizo kubwa
Mke anakula ya mwenza na ubunge ,mtoto ya ubunge na uwaziri yeye anapata 80%ya rais aliyepo madarakani wanalipiwa kila kitu na Kodi zetu
Sasa mkewe anataka ubunge na mwanaye urais 2030