Duh kumbe hawa jamaa ni wachawi kweli !!
Simba wanatia aibu taifa
Ahahaha
Na bado wakachezea
wazee wa kariakoo.. Hawakui kwa vihoja.. anaweza kushusha rundo la maneno ukajua yuko upande wenu kumbe katumwa na upande wa pili.... anafikiri vile ni viwanja vya kwa mtogole mpaka upate upenyo wa kuingia humo... kwanza anawajua wazuru kwa ndumba huyo au anaropoka tu....
Ahahaha
Na bado wakachezea
Bahati mbaya sana uchawi huwa inafika mahali unagota na baada ya hapo mambo hugeuka kuwa worse. Hakuna namna unaweza kuwa na sustainability huku ukiwa mwanga, haiwezekani kabisa.
Mzee anakwambia aliipigania simba saa sita usiku wanga bana wana mabalaa