Huyu kiongozi alimaanisha nini hapa?

Huyu kiongozi alimaanisha nini hapa?

Duh kumbe hawa jamaa ni wachawi kweli!!

Simba wanatia aibu taifa
 
Bahati mbaya sana uchawi huwa inafika mahali unagota na baada ya hapo mambo hugeuka kuwa worse. Hakuna namna unaweza kuwa na sustainability huku ukiwa mwanga, haiwezekani kabisa.
 
Wajuvi wa mambo nielewesheni. Alimaanisha nini huyu kiongozi!

View attachment 2201891
wazee wa kariakoo.. Hawakui kwa vihoja.. anaweza kushusha rundo la maneno ukajua yuko upande wenu kumbe katumwa na upande wa pili.... anafikiri vile ni viwanja vya kwa mtogole mpaka upate upenyo wa kuingia humo... kwanza anawajua wazuru kwa ndumba huyo au anaropoka tu....
 
Wamejifunza
Bahati mbaya sana uchawi huwa inafika mahali unagota na baada ya hapo mambo hugeuka kuwa worse. Hakuna namna unaweza kuwa na sustainability huku ukiwa mwanga, haiwezekani kabisa.
 
Back
Top Bottom