Huyu kiongozi kama angelijua CCM iko hivi asingelifanya juhudi kusaidia taifa lake

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
Kifo chake kimesikitisha wanyonge wengi na wapinga ufisadi.

Juhudi zake kubwa kukusanya mapato, kudhibiti mafisadi, kujenga vituo vya afya na kuteteta wanyonge zilikuwa haziwafurahishi wanaCcm wenzake. Kumbe kwa miaka mitano alikuwa kauzibe wa mikakati yao ya kuwadhulumu na kuwanyonya wanyonge.

Leo hii mafisadi wakubwa amabao bunge la JMT lilithibitisha kuwa walituibia bil 300 na ushee wanaachiwa hovyo. Hii ni picha kuwa kiongozi huyu alikuwa anapinga ufisadi huku wenzake hawafurahii jitihada zake.

Hii ni picha mbaya sana kwa taifa linalojinasibu kupinga ufisadi chini ya mwamvuli wa Ccm
 
Huyo kiongozi kwanza alifeli kwa kuweka wabunge vihiyo. Bunge kilishtaki lakin sio kudhibitsha.
Kazi ya kudhibitisha ni ya mahakama. Na miaka mi 5 yote walishindwa kudhibitisha
 
Alikua anapigana vita ya peke yake...
hii kitu imenifanya nianze kujitazama upya the way nnavyoishi na mipango yangu...
habari ya kujibana huli goodtime ili kufanya investment za familia, siku unaondoka huku nyuma watu wanatapanya, hawakumbuki how much sucrifices you put it on to make things stand.
 
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kifo chake kimesikitisha wanyonge wengi na wapinga ufisadi.

Juhudi zake kubwa kukusanya mapato, kudhibiti mafisadi, kujenga vituo vya afya na kuteteta wanyonge zilikuwa haziwafurahishi wanaCcm wenzake. Kumbe kwa miaka mitano alikuwa kauzibe wa mikakati yao ya kuwadhulumu na kuwanyonya wanyonge.

Leo hii mafisadi wakubwa amabao bunge la JMT lilithibitisha kuwa walituibia bil 300 na ushee wanaachiwa hovyo. Hii ni picha kuwa kiongozi huyu alikuwa anapinga ufisadi huku wenzake hawafurahii jitihada zake.

Hii ni picha mbaya sana kwa taifa linalojinasibu kupinga ufisadi chini ya mwamvuli wa Ccm
Kwa hiyo ndio kusema Bunge huwa linakurupuka ama?.
 
Maufisadi ni mengi mnoo mpaka yale yaliomuondoa Prof..Assad kitini.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Usicheke dada, huo ndo ukweli...watu wengi wakifa vya uridhi hua havikai...unafanya alot of sucrifices, hela ya kula bata dubai or Znz unasema ngoja nifanye saving or ninunue viwaja, nijenge wanangu wapate pa kujisitiri siku za mbeleni, unagombana na madalali, mafundi, unashinda juani site...the first thing they do ukifariki wanaamua wauze kila mtu akamate chake, then pesa ya mgao wao ndo wanaendea znz or dubei...[emoji23][emoji23][emoji23]

JPM alipunguza sana safari za nje ili pesa za safari atuletee maendeleo leo mama ndani ya miezi mi5 keshampita kwa safari za nje alizofanya zote ktk kipindi cha miaka mitano( safari za nje 9-8, nje ya Africa 1-0)
JPM kutwa alikua site kuangalia miradi na kupambana na wakandarasi or yupo on road kuskiliza kero za wanaichi na kuzitatua on the spot...Mama yeye kutwa yupo km sio safarini basi kaalikwa Sehem. Kifupi ni km anakula bata.

We lead by example, yy akiwa hivyo ht watu wa chini yake watafanya the same, na hatakua na moral authority ya kuwakanya.
 
Back
Top Bottom