Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Huyo kiongozi kwanza alifeli kwa kuweka wabunge vihiyo. Bunge kilishtaki lakin sio kudhibitsha.Kifo chake kimesikitisha wanyonge wengi na wapinga ufisadi.
Juhudi zake kubwa kukusanya mapato, kudhibiti mafisadi, kujenga vituo vya afya na kuteteta wanyonge zilikuwa haziwafurahishi wanaCcm wenzake. Kumbe kwa miaka mitano alikuwa kauzibe wa mikakati yao ya kuwadhulumu na kuwanyonya wanyonge.
Leo hii mafisadi wakubwa amabao bunge la JMT lilithibitisha kuwa walituibia bil 300 na ushee wanaachiwa hovyo. Hii ni picha kuwa kiongozi huyu alikuwa anapinga ufisadi huku wenzake hawafurahii jitihada zake.
Hii ni picha mbaya sana kwa taifa linalojinasibu kupinga ufisadi chini ya mwamvuli wa Ccm
Alikua anapigana vita ya peke yake...
hii kitu imenifanya nianze kujitazama upya the way nnavyoishi na mipango yangu...
habari ya kujibana huli goodtime ili kufanya investment za familia, siku unaondoka huku nyuma watu wanatapanya, hawakumbuki how much sucrifices you put it on to make things stand.
He is gone now...mnasubiri nn kuibua ufisadi wake?Yeye mwenyewe alikua mwizi tu sema yeye alizuia wengine wasiibe ili yeye aibe vizuri ndio maana tenda nyingi walipewa watu kiskaji. CCM ni ukoo wa kambare wote wezi hawana uchungu na nchi hii
Kwa hiyo ndio kusema Bunge huwa linakurupuka ama?.Kifo chake kimesikitisha wanyonge wengi na wapinga ufisadi.
Juhudi zake kubwa kukusanya mapato, kudhibiti mafisadi, kujenga vituo vya afya na kuteteta wanyonge zilikuwa haziwafurahishi wanaCcm wenzake. Kumbe kwa miaka mitano alikuwa kauzibe wa mikakati yao ya kuwadhulumu na kuwanyonya wanyonge.
Leo hii mafisadi wakubwa amabao bunge la JMT lilithibitisha kuwa walituibia bil 300 na ushee wanaachiwa hovyo. Hii ni picha kuwa kiongozi huyu alikuwa anapinga ufisadi huku wenzake hawafurahii jitihada zake.
Hii ni picha mbaya sana kwa taifa linalojinasibu kupinga ufisadi chini ya mwamvuli wa Ccm
Mbona Pro Assad alipoibua ufisadi wa 1.5b alitumbuliwa kabla ya muda wake kustaafu huyo mtu aliogopa nini kumfuatilia huo ufisadi kama sio yeye ndio anahusikaHe is gone now...mnasubiri nn kuibua ufisadi wake?
Maufisadi ni mengi mnoo mpaka yale yaliomuondoa Prof..Assad kitini.Kifo chake kimesikitisha wanyonge wengi na wapinga ufisadi.
Juhudi zake kubwa kukusanya mapato, kudhibiti mafisadi, kujenga vituo vya afya na kuteteta wanyonge zilikuwa haziwafurahishi wanaCcm wenzake. Kumbe kwa miaka mitano alikuwa kauzibe wa mikakati yao ya kuwadhulumu na kuwanyonya wanyonge.
Leo hii mafisadi wakubwa amabao bunge la JMT lilithibitisha kuwa walituibia bil 300 na ushee wanaachiwa hovyo. Hii ni picha kuwa kiongozi huyu alikuwa anapinga ufisadi huku wenzake hawafurahii jitihada zake.
Hii ni picha mbaya sana kwa taifa linalojinasibu kupinga ufisadi chini ya mwamvuli wa Ccm
Usicheke dada, huo ndo ukweli...watu wengi wakifa vya uridhi hua havikai...unafanya alot of sucrifices, hela ya kula bata dubai or Znz unasema ngoja nifanye saving or ninunue viwaja, nijenge wanangu wapate pa kujisitiri siku za mbeleni, unagombana na madalali, mafundi, unashinda juani site...the first thing they do ukifariki wanaamua wauze kila mtu akamate chake, then pesa ya mgao wao ndo wanaendea znz or dubei...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]