Huyu kiongozi kama angelijua CCM iko hivi asingelifanya juhudi kusaidia taifa lake


Gobole pole sana maana najua huwezi kubadilika. Watu wenye moyo kama wakwako huwa wanaumia kwa kuwaweka wengine mbele kwa uoendo hadi wao wenyewe wanajisahau lakini hakuna anayeonaga.

Sanasana unaowatendea wanaona kama unatakiwa kuwatendea hivyo na ni wajibu wako. Mwombe Mungu akupe hata mtu mmoja tuu atakaekuelewa na kukufanyia japo robo ya vitu unavyokosa na kamwe usiache kutenda mema
 
Kwa hiyo unataka katiba mpya ya kutengeneza mifumo imara?
 
Kwa hiyo ni bora katiba mpya ipatikane?
 
Alikuja kama bahati na kibaya kafa katuacha pabaya
 
Mbona Pro Assad alipoibua ufisadi wa 1.5b alitumbuliwa kabla ya muda wake kustaafu huyo mtu aliogopa nini kumfuatilia huo ufisadi kama sio yeye ndio anahusika
CCM WOTE wezi
 
Huyo pimbi aliye nyanganya misaada ya watu waliopata maafa ya tetemeko Kisha pesa kupeleka kujenga uwanja wa ndege wa familia yake huko chato ndio unasema alikuwa mwema? Aliua watu, kuteka, kupoteza watu hayo ndio Mambo mema?

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Jiue umfuate crazy mwenzio
 

Hakika kiongozi.
 
amebaki skeletoni. Yeye ndio kaharibu hata ile asilimia ndogo ya wana ccm waliokuwa na akili.
 
Siipendi CCM kutokana na ubabe wake wa kibaki madarakani
Ila Magufuli alinifanya nichukie CCM zaidi
Magufuli alikuwa ni Rais aliyetumia madaraka yake vibaya, aliyevunja katiba kwa maslahi yake binafsi ya kisiasa kuliko marais wote Tanzania
He was the worst president on earth
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…