Huyu kiongozi kama angelijua CCM iko hivi asingelifanya juhudi kusaidia taifa lake

Alimpa mama yako, ndio maana toka huyo bwana wa mama yako afe umevurugwa.
hayo ni mambo yenu nyinyi wake wenza.

mimi mtoto wa wa mnufaika hayanihusu.pole mjane
 
Mahakama na mwenyewe Mwendazake wameshindwa kuwathibitisha hao unaosema ni mafisadi.
Pengine uende wewe sasa ukathibitishe.
 
Mahakama na mwenyewe Mwendazake wameshindwa kuwathibitisha hao unaosema ni mafisadi.
Pengine uende wewe sasa ukathibitishe.
fisadi ni kama shoga,ni vigumu kulithibitisha mahakamani.
ndio maana utaratibu wa mahakama zao ukaanza kuandaliwa.
 
fisadi ni kama shoga,ni vigumu kulithibitisha mahakamani.
ndio maana utaratibu wa mahakama zao ukaanza kuandaliwa.
Mkuu hayo ya ushoga ni mawazo yako na uzoefu wako.
Miaka mitano , MITANO, FIVE YEARS, hakna watu wenye akkili kuthibitisha ufisadi wa mtu,
Conclusion , roho mbaya za watu ati kwa nini fulani kafanikiwa.
 
Mkuu hayo ya ushoga ni mawazo yako na uzoefu wako. Miaka mitano , MITANO, FIVE YEARS, hakna watu wenye akkili kuthibitisha ufisadi wa mtu, Conclusion , roho mbaya za watu ati kwa nini fulani kafanikiwa.
 
Mkuu hayo ya ushoga ni mawazo yako na uzoefu wako.
Miaka mitano , MITANO, FIVE YEARS, hakna watu wenye akkili kuthibitisha ufisadi wa mtu,
Conclusion , roho mbaya za watu ati kwa nini fulani kafanikiwa.
eti eh!!!

basi watakuwa ndio watu wa kwanza kufanikiwa nchini.
 
Wewe unawageukaje waimba mapambio wenzio?lakini ni bora kama japo umeweza kuhisi uwepo wa hilo, ila mengine yote hujaweza kuyaona, ukosefu wa uhuru,haki uonevu kwa misingi yakiitikadi hata ubambikiaji kwa wenyemawazo tofauti na unaowatuhumu leo. Pengine ndio unaanza kutambua maana ya malipo ni hapahapa duniani.
 
Toa mapendekezo,ushauri wako na sio kulalama.pia ulinganifu wako tupe vigezo ulivyotumia vinginevyo hoja hiyo inaweza kupoteza nguvu kabisa na kukosa maana. Nola kusahau kuzingatia mazingira ya swami site unazozitaja.
 
Nyakati nzuri hujirudia tusikate tamaa tutapata mwingne
Mungu wetu anasikia machozi yetu yanaishia mioyoni ni wengi wanaomlilia kimya kimya
Kweli hata mti ukikatwa baada ya siku nyingi huchipuka.
Mungu yupo na Tanzania.
 
Kama nakuelewa kuwa pia hata hiyo system kwa sasa ipo corrupted, hivyo hiwezi kwenda na top leadership kutokana na kuwa na matawi mengi yasoeleweka.
 
Nyakati nzuri hujirudia tusikate tamaa tutapata mwingne
Mungu wetu anasikia machozi yetu yanaishia mioyoni ni wengi wanaomlilia kimya kimya
Laana kum.
Yaani tupate mbambika kesi mwingine kama alivyobambikwa Mzee Shamte (wa TSA-TPSF)aliyefia gerezani, mnyang'anyi wa fedha za watu zilizo mabenki kutumia TRA, mtukanaji wa kukutaka kuacha mavi yako nyumbani.

Mkuu kwa mtaji huu ni heri WEW MFUATE ALIKO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…