Huyu kiongozi kama angelijua CCM iko hivi asingelifanya juhudi kusaidia taifa lake

Bado Taifa linamtafuta aliyetaka kumuua Lissu, Je kwa nini hasa.?
 
Kwani kwenye suala la nyumba yeye ndiye alikuwa Rais au waziri mkuu? mbona mnamtwisha mizigo isiyo ya kwake?
 
tuombe Mungu tu tuwe wazima 2025,asipate hata kura 3 ...watu wengi mno narudia wengi kupitiliza hawana hamu na ponda mali
 
Kwani kwenye suala la nyumba yeye ndiye alikuwa Rais au waziri mkuu? mbona mnamtwisha mizigo isiyo ya kwake?
Nyumba alianza kugawa yeye kama Waziri, baada ya kuvunja kamati iliyokuwapo.
Vyombo vya habari vilikuwa huru kuufahamisha umma. Alipopata Urais shughuli ya kwanza ilikuwa kununua midege yeye mwenyewe na dalali mafichoni.
 

nini bil 300 yeye mwenyewe aliiba trilioni 1.5
 
Nyumba alianza kugawa yeye kama Waziri, baada ya kuvunja kamati iliyokuwapo.
Vyombo vya habari vilikuwa huru kuufahamisha umma. Alipopata Urais shughuli ya kwanza ilikuwa kununua midege yeye mwenyewe na dalali mafichoni.
Kwaiyo akiwa waziri alikuwa na mamlaka ya kumzidi Rais wa nchi na waziri mkuu Wake, suala la nyumba Sumae aliisha litolea ufafanuzi wakati amekuja chadema,jinsi Sumae alivyo mshauli Mkapa wauze hizo nyumba kwasababu zilikuwa zimechakaa,naserikali haikuwa na hela ya kuzikarabati na usimamizi kapewa Magufuri maana alikuwa mwamifu na msimamizi mzuri,Sasa kosa la Magufuri ni lipi hapo?Midege unayolalamikia Ndio hiyo mabosi wako wanatumia kutanulia,la sivyo wananchi tungelikuwa tunaingia garama ya kukodi ndege ili mabosi wako waende kutanua Ulaya.Kosa la Magufuri ni lipi hapo? kununua ndege kwa ajili yanchi!bora Magufuri alijaribu kuliko walioshindwa kabisa kujaribu,mkizialibu ni nyinyi wenyewe.
 
1. Alijigawia majumba pale mbuyuni, kama waziri alistahili nyumba alokuwa akiishi
2. Aligawa nyumba kwa 'hawara' yake (Sundi) mzazi mwenzie ambae hakustahili
3. Aligawa nyumba kwa mdogo wake (Casbert) akiwa mwanachuo
4. Hakufuata taratibu za manunuzi za nchi wakati wa kununua midege
 
Nakuambia ukweli mchungu sana, nchi hii shida ipo kubwa kwa 'wananchi walio wengi' wengi Hawajui jinsi nchi inavyoenda... Kuna ombwe zito la ufahamu na huo ndio mtaji wa wanasiasa. Magufuli alikua anafanya kazi ambayo watanzania wengi watakuja kuielewa baadaye...

Sent from my Android using JamiiForums mobile app
 
Jpm hakuwa anasafiri sababu ya betri kwenye moyo,sio kwamba aliamua tu,ufisadi kipindi chake ulikuwepo ila kwa wachache wanaomzunguka,na hakutoa nafasi watu kuandika ufisadi wake ,mfugale,atcl,trilion 1.5 ,
😁😁😁😁
 
Sema wwe ulikosa connection,watu wengi walinunua nyumba na hawakua wafanyakazi wa serikali,ubungo cotta pale jamaa wengi walinunua nyumba za serikali, kwaiyo kuwa na mausiano/ndugu na Magufuri wakose nyumba?Ndugu kufahana sio kufanana,hata Wewe nina akika uwezi pata nafasi kama hiyo,arafu uone Ndugu yako akitabika kwa kukosa nyumba,ukakata kumnunulia,utakuwa rofa wa ajabu.
 
Huyo kiongozi kwanza alifeli kwa kuweka wabunge vihiyo. Bunge kilishtaki lakin sio kudhibitsha.
Kazi ya kudhibitisha ni ya mahakama. Na miaka mi 5 yote walishindwa kudhibitisha
Mungu ni mkubwa. Alisikia kilio chetu akatenda lake jambo March 17, 2011.
 
😁Pole sana,usisahau kuwasalimia na wenzio.
Pia fanya hima kujifunza ili uweze japo kuandika cha kusomeka bila shida.
 
Magu mimi sitaacha kumuombea Mungu amlaze Mahala pepa peponi huko alipo, History itamuandika mbeleni kama miongoni mwa Founding fathers of this Nation
 
jamaa kakaa jela zaidi ya miaka mitatu, halafu anatoka tu, kapokelewa na V8, wewe masikini hoehae, fukara wa kutupwa hata baiskeli huna. lazima ukasirike. [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…