Hawa ni wale viongozi wasioweza kukaa bila madaraka. Ni target ya CCM kama Msigwa. Hakuchaguliwa kwenye uongozi mpya. Mke wake ni Covid 19. Huyu mwingine anatumiwa na CCM
Salimu mwalimu wanaweza kumnunua lakini kwa dau kubwa sana. Mwalimu pia anaweza kwenda ACT Zanzibar wakampa cheo kule au Mbowe akamuingiza kwenye biashara zake maana ni marafiki wakubwa