Huyu kiongozi tusishangae akiondoka

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857


Hawa ni wale viongozi wasioweza kukaa bila madaraka. Ni target ya CCM kama Msigwa. Hakuchaguliwa kwenye uongozi mpya. Mke wake ni Covid 19. Huyu mwingine anatumiwa na CCM

Salimu mwalimu wanaweza kumnunua lakini kwa dau kubwa sana. Mwalimu pia anaweza kwenda ACT Zanzibar wakampa cheo kule au Mbowe akamuingiza kwenye biashara zake maana ni marafiki wakubwa
 
Huyu alikua mtu wa kazi ila sijui alipatwa na nini akaingia tamaa ya pesa akasahau harakati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…