Huyu kipa wa Jkt Queen ni bora kuliko makipa wengi tu Nchini

Huyu kipa wa Jkt Queen ni bora kuliko makipa wengi tu Nchini

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Yes Azam 2 Hd kuna game inaendelea michuano ya vilabu Afrika wanawake kule kwa kina Pacome fundi Ivory coast na gemu ya Sasa ni dhidi ya Jkt Queen na timu kutoka Ivory coast wenyeji mpaka sasa tokeo ni 1-1 Jkt wanajitaidi.

ila kivutio zaidi ni kipa wa Jkt mpaka sasa ndio mchezaji wangu bora kaokoa michomo ya kutosha natumai huyu hata angesimama golini Jumapili wakati timu flani inakula vyuma vitano yasingefika hayo matano labda mawili au matatu. JKt nimewapenda hawana wachezaji wa kigeni ila wanapiga soka la shoka wanakaba haswa kama Yao yao.

Ni wakati wa vilabu vyetu vikubwa kujifunza kutoka Jkt Queen kuwapa fursa mabinti wetu wa kike kuonyesha vipaji vyao.

dk 82 ubao ni 1-1

Roma....
 
Huyo alikuwa kipa bora wa ligi na kipa bora wa michuano ya kanda ya CECAFA
 
Back
Top Bottom