Huyu kocha anajitahidi sana kujivua lawama wadau wa michezo tushamsoma

Ameona yanga kumejaa mazezeta tu
 
zahera anasema kweli tff wanaibeba sana simba. kwanza marefa wanaochezesha mechi za simba wanaonyesha upendeleo wa wazi kabisa huku yanga wakiminywa ili wasipate ushindi huu ni uonevu

Zile mechi kumi uwanja wa Taifa nazo mmesahau fadhira za Tff.

Embu changieni team yenu
 
Bado wanashinda kimagumashi magumashi, shit H
Simba mwaka huu ni wao ila kwa hali iliyoko Yanga ndo ingekuwa iko Simba basi Simba wangeshuka daraja!
Pesa ipo Simba wachezaji wazuri na muwekezaji mkubwa sana tu lakini bado ushindi kwa mbinde!!
 
Leo kalalamika tena kwamba kwanini mechi ya Simba na kagera imepangwa saa kumi na siyo saa nane
 
Waambie hivi pamoja na kushiriki kwao yanga iliambulia points 3 mnyama mara moja points 15 wakowapi watz wenye asili ya nchi nyingine wako wapi lavyu.

China nyama ya mbwa inathamani kubwa na huliwa kipindi cha baridi ili mwili upate joto lipuli walikula mbwa ndo maana misuli haikusumbua wakawa na nguvu nyingi za kiume.

Wazee wa morogoro wakikupa dawa za nguvu za kiume hukupa pia dawa za kutibu ngiri ugonjwa usababishwao na baridi lavyu walipata ngiri sababu ya baridi na lipuli hawakupata baridi hivyo nguvu zao zilikuwa juu wakawapiga viwili matipwapwa tetema

Mo amewekeza Simba mwaka wa ngapi huu??
Kabla ya Mo Simba imewahi kushuka daraja??
Toka Manji amwage Pesa zake Yanga timu imewahi kugusa ROBO au Makundi CCL??
JIBU HAYA TWENDE SAWA.
 
Hawana jipya.. kocha wao anasema malengo yao ilikuwa kumaliza wa 6/7 kwenye ligi, ,kwa hiyo kuwa wa pili wamevuka malengo na ndio mafanikio yao season hii.
 
halafu jamaa anavuta sana sigara nyota na anakunywa sana gongo..... angalia midomo yake.
 
Shida ya limbwata uliyepewa unaona uko mzima lakini hasiyepewa anakuwa anakuhurumia nadhani ndicho alichofanya zahera kwa timu ya yanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…