Huyu kocha mwisho wa reli

Huyu kocha mwisho wa reli

KakaNanii

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2008
Posts
325
Reaction score
52
Ingekuwa ni hapa bongo , pangechimbika ! Muone huyo kocha vidole vyake vinavyofanya !!!!
 

Attachments

  • JAPAN-JAMII.jpg
    JAPAN-JAMII.jpg
    59.6 KB · Views: 214
Huyu si kocha!bali ni...................................
 
Kibaya waliolala wote wanawake duh jamani ninyi wenye wake zenu timu za taifa waombeen sana haya ni moja ya majaribu live na akishindwa anakukata jina akiwa kwenye kawaha...loh
 
Hivi amekosa pa kushika penginine mpaka atiamo mkono?! Anyaway, kila mtu hula mezani kwake
 
attachment.php


Hamna raha maana hapo ni kama anafanya makusudi kuwatomasa kwa kisingizio cha mazoezi, ila wako 'fit' sana
 
Back
Top Bottom