Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
Hivi mechi ya watani lini?Majina ya kina Sudi kuongea sana ndio asili yao
Wazaramo ndio walivyo Mkuu
Ndo inatupeleka robo fainali?Hivi mechi ya watani lini?
Kwani yanga ipo kwa ajili ya robo fainali mabingwa 2025 tu!?.. mashindano yatakuwepo tena msimu ujaoNdo inatupeleka robo fainali?
Tupo kwa ajili ya kumfunga Simba. Mara ya 7 mfululizo. Hapo nimekuelewa.Kwani yanga ipo kwa ajili ya robo fainali mabingwa 2025 tu!?.. mashindano yatakuwepo tena msimu ujao
Fikeni fainali hilo kombe la luzaTupo kwa ajili ya kumfunga Simba. Mara ya 7 mfululizo. Hapo nimekuelewa.
Ndo umeandika nini? Can you use swahili or english?Fikeni fainali hilo kombe la luza
Hilo halipo. Simba ni mnyonge wetuNajua faraja mmebaki nayo moja mmfunge mnyama ila tutawakanda vibaya mnoo msimuu nyie mwakakundi wa head
😄 tunajipigia tu msimu huu we subiriHilo halipo. Simba ni mnyonge wetu