Huyu kocha wa Simba hamalizi msimu

Huyu kocha wa Simba hamalizi msimu

Mtoto WA sheickh Yahya Hussein.

HONGERA MTABIRI TAMBI TAMBI.

1. Binafsi Imani yangu ya Kikristo Inanikataza sana Ma UBASHIRI, UTABIRI NK.

2 ACHA KUMUOMBE BINADAMU MWENZIO MABAYA HUO NDIO UCHAWI WENYEWE.
hakuna kifungu chechote cha biblia kimekataza ubashiri
 
Chama pia atahusika sana kumfukizisha!! Play maker wa Simba ni Chama, halafu yeye anajifanya kumweka benchi!! Huyu kocha ana kiburi sana!!. Anaonea wivu ufalme wa Chama alio nao hapo Simba!! Ameshindwa kabisa kutengeneza first eleven ya kueleweka!!
Chama ni kanuni ndo haimruhusu kucheza ??? Ila syo kwamba yupo bench

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
USIROPOKE KUFURAHISHA WATU.

UNGEKUWA NA AKILI TIMAMU UNGEOMBA FUNGU LINALO KATAZA UBASHIRI.

Kumbukumbu la Torati 18:10-12.”…………Asionekane kwako mwenye kubashiri”

FICHA UJINGA.
Tatizo la wakristo ni moja kukiwa na kifungu kinachowafunga kwenye hivyo vitabu mulivyovipachika kuwa ni agano la kale utasikia agano la kale limepitwa na wakati ila kukiwa na kifungu kinachowafurahisha utakuta wanarejea kwenye hilo wanaloita agano la kale... sasa wewe unakula nguruwe wakati alishakatazwa je idhini hiyo wewe umeitoa wapi?
 
Tatizo la wakristo ni moja kukiwa na kifungu kinachowafunga kwenye hivyo vitabu mulivyovipachika kuwa ni agano la kale utasikia agano la kale limepitwa na wakati ila kukiwa na kifungu kinachowafurahisha utakuta wanarejea kwenye hilo wanaloita agano la kale... sasa wewe unakula nguruwe wakati alishakatazwa je idhini hiyo wewe umeitoa wapi?


BIBLIA ni Muunganiko WA VITABU.

Binafsi sisomi Agano Huwa nasoma BIBLIA.

NB.
UMEWAHI KUNIONA NAKULA NGURUWE???

anyway hapa sio Jukwaa lake, LAKINI ENDELEAKUABUDU SHETANI
 
Siki akiacha kimpeti peti kibu na bocco atafika mbali sana
 
BIBLIA ni Muunganiko WA VITABU.

Binafsi sisomi Agano Huwa nasoma BIBLIA.

NB.
UMEWAHI KUNIONA NAKULA NGURUWE???

anyway hapa sio Jukwaa lake, LAKINI ENDELEAKUABUDU SHETANI
Mimi siabudu shetani namuabudu Mwenyezi Mungu mmoja asie lala wala kuuawa wala hagawanyiki na wala hafananishwi na chechote kile
 
Chama Leo alikua kafungiwa kutokana na red card ya msimu uliopita, nyi kenge mnajaza tu server za jf wakati hamfatilii mpira
Mtoto wa nyoka ni nyoka, mtoto wa mtukanaji ni mtukanaji pia maana anakumbuka alivyokuwa anatukanwa na baba yake na amejifunza matusi toka kwake!! m,toto wa mtukanaji utamjua tu!
 
Tulishasema siku nyingi na tunarudia kusema hii team wangemuacha Mgunda aliiweza sana na ball lilikuwa linatembea si mchezo. Tunababaika na rangi ya ngozi wakati kocha hajui kitu. Yaani team haichezi vizuri ni butua butua tu, no clear game plan ya kutafuta ushindi yaani bora liende, kwa mpira huu super league tutatia aibu aisee. Amekariri first eleven yake humweluezi kitu na Kibu Denis wake
Hata mm nliona mgunda aliiwezea san simba na wachezaji walicheza kwa furaha na kujitum muda mwingi
 
Back
Top Bottom