Huyu kweli ni professor? Aliyemuelewa please atafsiri

Well said
 
Hivi hakuna alie elewa vizuri atafsiri kwa kiswahili?
Prof kwa lugha nyepesi anasema:

"Baada ya matamshi yenye mihemko, majivuno na kampeni zilizosheheni majigambo yenye kupanda chati kinafiki kila kukicha, ya Wamarekani wanaonesha kujaa kiburi na kupenda kutukuzwa, hatimaye bila kutarajia wamemchagua Trump awe Rais wao. Marekani, kwa ushindi huu, itaelekea kwenye hali wasiyoitarajia ya uchumi mfu. Yote hii ni kwa sababu ya mziki Hillary aliomchezea/mwonyesha Trump, naye akafanya kweli. Trump ameshinda, hakuna mrejeo/kurudia. Imetoka hiyo"

Sent from my SM-G360H using JamiiForums mobile app
 
profesa kwa jinsi unavyotukomesha kwa lugha unayoongea Mungu anakuona
 
Asante kwa ufasiri, hata kiswahili cha ndani huwa ni mtihani kwa Watz, sembuse lugha ya malkia iliyokuja kwa meli
 
Hongera
 
Eighteenth century English ndio anaitumia kwenye twentth century huyu ni mtu wa ajabu kuwahi kutokea
 
Raha yake ni kutokueleweka. Ni kutafuta sifa za kijinga tu, sifa mojawapo ya mawasiliano ni kueleweka au labda sijui analenga kufikisha ujumbe kwa nani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…