Huyu kweli ni professor? Aliyemuelewa please atafsiri

Huyu kweli ni professor? Aliyemuelewa please atafsiri

The effects of post election pestilence are very much in evidence throughout the world.
In cognizant of the election facts, there is no doubt post election will gnaw at the Americans because of the gnomic nature of the President Elect
 
duuh hicho kingereza cha nchi gan ambacho hata viunganishi havionekani thatha, aaarrgghh!
 
Ametumia of moja na is moja tu! Professor mungu anakuona.
 
  • Thanks
Reactions: GUI
Professor gani huyu? Amedhani akiweka bombastic English ndio watu watamgwaya) kumbe baadhi ya maneno aliyoweka hayana maana!
 
Hivi hakuna alie elewa vizuri atafsiri kwa kiswahili?
 
Ni nani anathubutu kumwita Prof P Lumumba Prof Uchwara! Msikilize, msome utaona kila neno analotumia lina maana yake. Na wale usifikiri anatumia kamusi kuandika matamko yake. Anatitirika! Ni mtu wa pekee, zawadi ya pekee. Hata kiswahili chake ni cha undani mno! Ni mwanamapinduzi.

Kwa kuwa umeshindwa kuielewa sio kunamfanya yeye awe uchwara! Tujifunze. Na ukumbuke yeye amekubuhu tayari katika usomi, hana sifa anayotafuta, hiyo ni jinsi yake ya kuelezea hisia zake. Sio mtu wa kusema ' mkutano ulikuwa mzuri' bali ataelezea sifa za huo uzuri au ubaya!

Msikilize hapa:
 
Mtafute profesa Lipumba labda si na yeye anajifunhiaga ofisini anasoma
 
Back
Top Bottom