Huyu kweli ni professor? Aliyemuelewa please atafsiri

Huyu kweli ni professor? Aliyemuelewa please atafsiri

Siamini kama yeye mwenyewe ndo kasema hayo maneno.

Nadhani ni watu tu huko kwenye mitandao wameamua kumuwekea maneno mdomoni.
 
Looh! kiasi kikizidi sana nalo ni tatizo. msomi huyu hakupima uelewa wa anaowaandikia/walengwa wa tamko lako. ngoja mimi kwa hili nikubali kuwa mmoja wa wale 4:1 kwa mujibu wa kale ka utafiti.
Ule utafiti ni kwa hapa Tz tu ndugu
 
aya moja, sentensi mbili, maneno sitini na sita!! Yaani hata kuzisoma hizo sentensi mbili zinawasha!!
 
After a very tough campaign full of all sort of politicking, character assassination and name calling, with hypocrisy of some Americans being in the uppermost and ending with the unexpected Trump's victory; America will never be the same America we know; economically,ideologically, and politically.Hillary underestimating Trump's opposition has ushered America into a new era and there is no way back Trump is the people's choice.
Umetisha mkuuu [emoji106][emoji106][emoji106]
 
Ndipo waafrica wanapokuwa useless baada ya kupata elimu. Km Mugabe kasoma sana,kaona vitu vingi,ila kachagua kuwa trick boy.
 
Nimejaribu kupeleka sehemu ya Tamko lake Google Translate.
Ngoja nilete majibu

Baada ya ukitoa sauti kubwa, rumbustious, bousterous na bila masharti exuberant Kampeni, isiyokuwa ya kawaida na milele kuongezeka mfano unafiki Haa imeonekana na ambao Wamarekani prodigious na nyenyekevu ambao serendipitously alifanya Trump rais wao
Duh hata Google wamechemka!hatari hii!
 
Back
Top Bottom