Huyu kweli ni professor? Aliyemuelewa please atafsiri

e9fb6585142d11375a7d31675fab0c2c.jpg
DUU NIMEPATA NENO JIPYA-'FLOCCINAUCINIHIPIFICATION' something insignificant of or of little value
ninadhani hili ni neno refu zaidi [25 words] kwenye lugha ya kingereza.
 
BHANGI!!!!!!!!!!!! huu mmea safi sana ndio maana USA wanaanza kuuruhusu kwa matumizi, umekuja wakati wa TRUMP..
 
DUU NIMEPATA NENO JIPYA-'FLOCCINAUCINIHIPIFICATION' something insignificant of or of little value
ninadhani hili ni neno refu zaidi [25 words] kwenye lugha ya kingereza.
Ni jina la dawa aina ya kutibu akili.
 
Huu in uprofesa uchwara. Who were his audience?.What is the point kuongea lugha ngumu to that level wakati Ujumbe wenyewe in kiduchu tu
Ujinga ujinga tu wetu watu weusi ,akiongea professor wa kizungu maneno rahisi hata form tuliotoka saint kayumba tunamuelewa ,hawa wa kwetu sifa nyingi msaada sifuri.
 
Huu in uprofesa uchwara. Who were his audience?.What is the point kuongea lugha ngumu to that level wakati Ujumbe wenyewe in kiduchu tu
Mh Mr. Bigman: kila neno alilolitumia lina maana kwa kila Mmarekani aliyempigia kura Trump. Hakuna maneno mbadala Prof angetumia kuwakilisha ujumbe wake kwa hao waliomchagua Trump.

AELEWEKE HIVYO
 
DUU NIMEPATA NENO JIPYA-'FLOCCINAUCINIHIPIFICATION' something insignificant of or of little value
ninadhani hili ni neno refu zaidi [25 words] kwenye lugha ya kingereza.
limenikumbushia mwalimu wangu wa o level
 
Kwani waganga wa jadi hawaitani ma profesor?
Sasa hapo kuna ajabu gani?
 
Huyu atakuwa na elements za Kagera Huyu.... I always watch YouTube videos on various African issues ...like one of the speech why Africa is dying e.tc
 
Back
Top Bottom