Huyu kweli ni professor? Aliyemuelewa please atafsiri

Huyu kweli ni professor? Aliyemuelewa please atafsiri

e9fb6585142d11375a7d31675fab0c2c.jpg

Pamoja kwamba wasomaji wanaweza kujitahidi kusoma na kuielewa kauli ya Professor PLO Lumumba, ni muhimu kumkumbusha mnenaji kuwa faida kubwa ya msemaji ni kuwawezesha wanaomsikiliza kumwelewa. Matumizi ya lugha nyepesi ni sifa kubwa pia ya msomi aliyebobea katika fani yake. Waandishi wazuri ni wale waliojizoeza kutumia lugha nyepesi ya walengwa. Professor angeweza kusema aliyoyataka kuhusu matokeo ya uchaguzi Marekani kwa lugha nyepesi sana ya Kiingereza hasa kile cha kule kwao Kenya. Tungemwelewa tu. Sidhani pia hata wenye lugha yao wanafurahia matumizi ya aina hiyo. Sidhani pia kama wamemwelewa kirahisi Professor.
 
Duu noma saana had nikahis prof ameongea.vitu ambavyo havipo lakin kumbe ni kiinglishi kabsa asee
 
Jamani kiranga hajamaliza kutumikia BAN aje anisaidie tafsiri! au hata Nyani Ngabu. Hawa magwiji wawili nawaamini sana kwa kiingilishi hapa JF
 
BHANGI!!!!!!!!!!!! huu mmea safi sana ndio maana USA wanaanza kuuruhusu kwa matumizi, umekuja wakati wa TRUMP..
Kweli mkuu huu mmea ni mzuri ila watu kama hawa ndio wanafanya huu mmea uonekane siyo. HAYA SIO MATUMIZI SAHIHI YA BANGI, kuna procedure kaacha.
 
aliyesema haya si huyu prof Lumumba. hii ni comedy caption.

hapa wame-quote tu ile inglishi bombastic ya yule prof comedian wa Nigeria.

hapa wamemtumia prof Lumumba kama yale mautani mengine ambayo yanavyokuwa linked na Mugabe, lakini si ya maneno ya Mugabe!
 
After a vociferous, rumbustious, boisterous and an un controllably exuberant campaign, an unprecedented and ever skyrocketing instance of hypocrisy has been shown by prodigious and obsequious Americans who have serendipitously made TRUMP their president, America will triumphantly engulf and vertically gravitate into a state of Kleptocracy and economic spondylolithesis, All this is because of the Floccinaucinihilipilification that Hillary has shown Trump. Trump has won and there’s no Bouleversement .

Maneno ya professa Lumumba.

Kama umeelewa hebu comment chini unachambuaje hii kauli,
 
Back
Top Bottom