nikukuambia kuwa sio mzuri kwenye upigaji solo unaweza fahamu nimetumia vigezo gani?
Je wewe ni mwanamuziki au?? Tuanzie hapo.
Au wewe umefikiria kitu gani mdogo angu?
Dogo ni mzuri sana. Bon-CN .
Unajua kwanini?
Kwasababu huyu dogo anaingiza solo kwenye bit ambayo tayari ina melody zingine za base na keyboard sio free bit kama manzi hapo juu ambapo she was free to play however she wants.
Huyu dogo yuko limited already, lazima awe makini ku study flow ya vyombo vingine na yeye ajue wapi pa kuingia na aingiaje na katika tune ile ile kama wenzie ili wawe uniform.
Hapa kalazimika kutumia akili zaid na ndio maana unaona anapiga huku anafikiri