kuna habari ina`trend mitandaoni kuwa linex eti alipigiwa simu na Dj Khaleed na sifa kibao,hasa mpya za town inasemekana kuna hotel inaitwa KIBONA HOTEL huko mikocheni,anadaiwa hela mbuzi sijui laki 9 na ushee kujifanya kukaa hotel kumbe hana hata mia na kusababisha wahudumu kufukuzwa kazi,hivi hawa mastaa mbuzi wa bongo kwanini wanatutia aibu?
kwanini ni watu wa kutaka sifa wakati hawana kitu?
maunga yana waharbu akili ww acha tukuna habari ina`trend mitandaoni kuwa linex eti alipigiwa simu na Dj Khaleed na sifa kibao,hasa mpya za town inasemekana kuna hotel inaitwa KIBONA HOTEL huko mikocheni,anadaiwa hela mbuzi sijui laki 9 na ushee kujifanya kukaa hotel kumbe hana hata mia na kusababisha wahudumu kufukuzwa kazi,hivi hawa mastaa mbuzi wa bongo kwanini wanatutia aibu?
kwanini ni watu wa kutaka sifa wakati hawana kitu?
Wewe utakuwa umemuona linex rapa.Nakumbuka miezi mi3 iliopita, nilikutana na Linex Kahama.
Alikua kachoka, yaani alikua amechakaa hadi ikabidi nimchane na nikamwambia hakupaswa kufanana vile.
Alikua amelewa, amevaa Jean's ya hovyo..... Amechafuka na miguuni amevaa malapa....[emoji45] [emoji45] [emoji45]
Kwakweli nilimshangaa sana, na nilimsahauri abadilike na afanye maisha, pia aepukane na ulevu wa kilakilichopo mbele yake.
Alafu kuna mtu anakutafuta humu ili akunyooshe....[emoji13] [emoji13] [emoji13]Wewe utakuwa umemuona linex rapa.
Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
katukana et ungese yaan wasanii wetu hawa shida tupu
Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app