Huyu linex wa Dj Khaleed vipi?

Huyu linex wa Dj Khaleed vipi?

LUBEDE

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
4,320
Reaction score
6,686
Kuna habari ina`trend mitandaoni kuwa linex eti alipigiwa simu na Dj Khaleed na sifa kibao,hasa mpya za town inasemekana kuna hotel inaitwa KIBONA HOTEL huko mikocheni,anadaiwa hela mbuzi sijui laki 9 na ushee kujifanya kukaa hotel kumbe hana hata mia na kusababisha wahudumu kufukuzwa kazi,hivi hawa mastaa mbuzi wa bongo kwanini wanatutia aibu?

kwanini ni watu wa kutaka sifa wakati hawana kitu?
 
kuna habari ina`trend mitandaoni kuwa linex eti alipigiwa simu na Dj Khaleed na sifa kibao,hasa mpya za town inasemekana kuna hotel inaitwa KIBONA HOTEL huko mikocheni,anadaiwa hela mbuzi sijui laki 9 na ushee kujifanya kukaa hotel kumbe hana hata mia na kusababisha wahudumu kufukuzwa kazi,hivi hawa mastaa mbuzi wa bongo kwanini wanatutia aibu?
kwanini ni watu wa kutaka sifa wakati hawana kitu?

Laki 9 ni hela mbuzi siku hizi?? gud 4 u.
 
Nakumbuka miezi mi3 iliopita, nilikutana na Linex Kahama.
Alikua kachoka, yaani alikua amechakaa hadi ikabidi nimchane na nikamwambia hakupaswa kufanana vile.
Alikua amelewa, amevaa Jean's ya hovyo..... Amechafuka na miguuni amevaa malapa....[emoji45] [emoji45] [emoji45]
Kwakweli nilimshangaa sana, na nilimsahauri abadilike na afanye maisha, pia aepukane na ulevu wa kilakilichopo mbele yake.
 
kuna habari ina`trend mitandaoni kuwa linex eti alipigiwa simu na Dj Khaleed na sifa kibao,hasa mpya za town inasemekana kuna hotel inaitwa KIBONA HOTEL huko mikocheni,anadaiwa hela mbuzi sijui laki 9 na ushee kujifanya kukaa hotel kumbe hana hata mia na kusababisha wahudumu kufukuzwa kazi,hivi hawa mastaa mbuzi wa bongo kwanini wanatutia aibu?
kwanini ni watu wa kutaka sifa wakati hawana kitu?
maunga yana waharbu akili ww acha tu

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
[emoji445] [emoji445] [emoji445] bora ngoja nikae kimya[emoji445] [emoji445]

Senti furomu mai tekino wereva yuzingi jamii foramu mobaili apu
 
Ili mradi niyumbe tu

Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
 
Asikilize ya Wahenga

Sent from my HTC Desire 820G PLUS dual sim using JamiiForums mobile app
 
Nakumbuka miezi mi3 iliopita, nilikutana na Linex Kahama.
Alikua kachoka, yaani alikua amechakaa hadi ikabidi nimchane na nikamwambia hakupaswa kufanana vile.
Alikua amelewa, amevaa Jean's ya hovyo..... Amechafuka na miguuni amevaa malapa....[emoji45] [emoji45] [emoji45]
Kwakweli nilimshangaa sana, na nilimsahauri abadilike na afanye maisha, pia aepukane na ulevu wa kilakilichopo mbele yake.
Wewe utakuwa umemuona linex rapa.

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
 
Mimi nikisikia msanii anatumia unga huwa sina huruma wala Msaada nae. Apambane na hali yake
 
Bongo fuleiver inaelekea kuwa kama bongo muvi

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Huyu huyu sande mjeda ama? kama kaanza kubwia sembe basi tena usela mav* unawasumbua wakija town
 
Anakutia aibu? Deni adaiwe yeye, aibu uone wewe? Geez
 
Back
Top Bottom